Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawaziri wapya watinga ofisini na rundo la ahadi

>Mawaziri waliobadilishwa wizara na Rais Jakaya Kikwete, wameingia ofisini na kuahidi kutumia muda mfupi uliobaki kuendeleza yale yaliyoachwa na watangulizi wao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI WAPYA

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Sefue Ombeni. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:- 1.0 OFISI YA RAIS
Hakuna mabadiliko. 2.0 OFISI YA MAKAMU WA RAIS
2.1 Waziri wa… ...

 

11 years ago

Michuzi

MAASKOFU MORAVIAN WATINGA OFISINI KWA CHIKAWE,WAMUOMBA AINGILIE KATI MGOGORO NDANI YA KANISA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Maaskofu wa Kanisa la Moravian nchini baada ya kuwasikiliza malalamiko yao kuhusiana na migogoro ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea kwa muda mrefu katika Kanisa hilo. Maaskofu hao ambao walikuwa wanaongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Alinikisa Cheyo walimuomba Waziri Chikawe aingilie kati kwa kudhibiti vurugu hizo ambazo zinazisambaratisha kanisa lao. Hata hivyo, Waziri Chikawe aliahidi kulifanyia kazi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwa aibu kama hii, mawaziri wabaki ofisini?

SERIKALI ya Tanzania imepata aibu kutokana na kutafunwa kwa sh milioni 644 za nchi sita za wahisani zilizotolewa kugharamia awamu ya pili ya Mpango wa Maboresho ya Serikali za Mitaa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mawaziri wapya watangaza kiama

Mawaziri walioapishwa jana Ikulu jijini Dar es Salaam wamepania kufanyia kazi viapo vyao, kwa kuhakikisha wanamaliza kero na changamoto zinazoikabili sekta ya elimu, utalii, fedha, ujenzi na uchukuzi.

 

10 years ago

GPL

9 years ago

Habarileo

Mawaziri wapya wanne wateuliwa

RAIS John Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza Baraza la Mawaziri la Kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake.

 

9 years ago

Mwananchi

Mawaziri wapya wamficha Magufuli Dodoma

Wakati wabunge wa CCM wakisubiri kwa hamu kujua nani miongoni mwao atakayeingia kwenye baraza dogo la mawaziri, Rais John Magufuli amejichimbia mjini Dodoma akichambua majina ya makada watakaounda “Serikali ya magufuli”.

 

9 years ago

Raia Mwema

Mawaziri wapya sura mpya kibao

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Raia Mwema

Mawaziri wapya wapimwe kwa muda

KAMA kuna uteuzi ambao unasubiriwa kwa hamu kufanywa na Rais Dk.

Mwandishi Wetu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani