Mawindo ya usajili barani ulaya
Bossi wa Manchester City Manuel Pellegrini amefungua milango ya kutaka kumsajili mshambuliaji Lionel Messi toka Barcelona.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Mawindo ya usajili ulaya.
10 years ago
BBCSwahili05 Dec
Tetesi za mawindo ya usajili Ulaya
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika …
Mtu wangu wa nguvu najua headlines za usajili wa dirisha dogo kwa Bongo zimepita na sasa tunaelekea katika usajili wa dirisha dogo la mwezi January barani Ulaya, tumeona vilabu vya Man United na Tottenham Hotspurs vikiwania saini ya mchezaji wa Algeria anayekipiga katika klabu ya Leicester City Riyad Mahrez. Mtu wangu wa nguvu kabla ya dirisha […]
The post Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika … appeared first on...
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Tetesi za usajili Barani ulaya
9 years ago
Mtanzania24 Nov
Barani Ulaya hapatoshi leo
BARCELONA, HISPANIA
MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya inatarajia kuendelea leo katika viwanja mbalimbali huku mchezo ambao unatarajiwa kutazamwa na idadi kubwa ya mashabiki ni kati ya Barcelona dhidi ya AS Roma, wakati mchezo mkubwa wa kesho ni kati ya Juventus dhidi ya Manchester City.
Katika kundi E, Barcelona wanaongoza kundi hilo huku wakiwa na pointi 10, wakati wapinzani wake Roma wakiwa na pointi tano, katika mchezo wa leo Roma wanatafuta ushindi ili kuweza kujiweka sawa lakini...
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Klabu bingwa barani Ulaya
9 years ago
BBCSwahili11 Nov
Tatizo la Uhamiaji haramu barani Ulaya
10 years ago
BBCSwahili08 Dec
9 years ago
Dewji Blog28 Nov
Ratiba ya Ligi mbalimbali Barani Ulaya weekend hii!
Mitanange itakayopigwa leo huko Ulaya katika ligi kuu za Soka..
Michezo ya EPL.
Ungana na mchambuzi mahiri na mwanamichezo wa mtandao huu, Rabi Hume ambaye atakuwa akikupatia matokeo na habari kemkem za michezo ya soka kutoka sehemu mbaalimbali Duniani.
Kama una taarifa za michezo ikiwemo mpira wa miguu na habari zingine waweza kuwasiliana naye kupitia email za mtandao hapo juu ama kupitia simu yake: 07692441355 au email:rabbif.hume@gmail.com