Tatizo la Uhamiaji haramu barani Ulaya
Idadi kubwa ya wahamiaji haramu wanaosafiri katika mazingira magumu katika bahari ya mediterenia kunatia wasiwasi nchi za Ulaya.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-xkD01DKzp4U/VQmAnaOP8zI/AAAAAAAHLSM/Tafk-bsZ7ps/s72-c/unnamed.jpg)
Idara ya Uhamiaji yaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini
IDARA ya Uhamiaji nchini,Imesema inaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini na kuwataka wananchi waendelee kutoa taarifa za wahamiaji haramu na hatua zinachukuliwa dhidi ya wahamiaji hao.
Hayo ameyasema,Naibu Kamishina wa Idara ya Uhamiaji na Msemaji wa Mkuu wa Idara hiyo,Abbas Irovya ,amesema idara ya uhamiaji inaendelea kupambana na wahamiaji haramu na kufanya uhamiaji haramu kupungua.
Irovya amesema kuwa kuna gazeti moja la wiki jina tunalihifadhi...
9 years ago
BBCSwahili25 Aug
Uingereza na uhamiaji haramu
10 years ago
Habarileo11 Feb
22 ‘watupwa’ jela kwa uhamiaji haramu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro imewahukumu wahamiaji haramu 22 kutoka nchini Ethiopia kifungo cha kwenda jela miaka miwili kila mmoja ama kulipa faini ya Sh 50,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuingia nchini bila kuwa na kibali cha Seriakali au hati ya kusafiria.
11 years ago
Habarileo21 Dec
Uhamiaji wanasa kinara wa uvushaji wahamiaji haramu
IDARA ya uhamiaji mkoani Kilimanjaro, imefanikiwa kumkamata kinara wa biashara ya binadamu, Abdul Ndaishimiye (33) raia wa Burundi anayedaiwa kuvusha wahamiaji haramu kuingia nchini kwa wastani wa Sh milioni 2 kwa kila mtu mmoja.
9 years ago
StarTV06 Nov
Kumi wakamatwa mkoani Shinyanga kwa uhamiaji haramu.
Zaidi ya wahamiaji haramu kumi wamekamatwa mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kuingia nchini kinyume cha sheria.
Wahamiaji hao wamekamatwa katika msako unaoendeshwa na idara ya uhamiaji mkoani humo. Msako huo ulianza katika kipindi cha uandikishwaji wa daftari la kudumu la wapiga kura na hivyo kupatikana kwa wahamiaji 13 kutokea Burundi, kenya, Rwanda na Jamuhuri ya kidmokrasia ya Congo.
Hayo yamezungumzwa na afisa uhamiaji wa mkoa wa Shinyanga bi Annamaria Yondani wakati akitoa takwimu katika...
11 years ago
GPLIDARA YA UHAMIAJI MBEYA INAWASHIKILIA WAHAMIAJI HARAMU 62 KUTOKA ETHIOPIA
9 years ago
MichuziWAZIRI KITWANGA ATEMBELEA UHAMIAJI, ATANGAZA OPERESHENI YA KUKAMATA WAHAMIAJI HARAMU NCHINI
9 years ago
BBCSwahili12 Nov
Afrika na Ulaya kuukabili uhamiaji
9 years ago
BBCSwahili27 Aug
Viongozi wa Ulaya kujadili Uhamiaji