Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawindo ya usajili ulaya.

Manchester United wanataka kuendelea kuimarisha kikosi chao kwa kumsajili winga Gareth Bale kutoka Real Madrid.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mawindo ya usajili barani ulaya

Bossi wa Manchester City Manuel Pellegrini amefungua milango ya kutaka kumsajili mshambuliaji Lionel Messi toka Barcelona.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tetesi za mawindo ya usajili Ulaya

Manchester United inaweza kutumia mpaka kiasi cha pauni milioni 350 kwa kipindi cha miaka miwili katika kusajili wachezaji wapya.

 

9 years ago

MillardAyo

Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika …

Mtu wangu wa nguvu najua headlines za usajili wa dirisha dogo kwa Bongo zimepita na sasa tunaelekea katika usajili wa dirisha dogo la mwezi January barani Ulaya, tumeona vilabu vya Man United na Tottenham Hotspurs vikiwania saini ya mchezaji wa Algeria anayekipiga katika klabu ya Leicester City Riyad Mahrez. Mtu wangu wa nguvu kabla ya dirisha […]

The post Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika … appeared first on...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hekaheka za usajili Ulaya

Hekaheka za usajili zapamba moto barani ulaya

 

10 years ago

BBCSwahili

Tetesi za usajili Barani ulaya

Real Madrid wako tayari kuvunja rekodi kwa kwa mlinda mlango David De Gea toka klabu ya Man United.

 

9 years ago

Mwananchi

Usajili siku ya mwisho Ulaya

Manchester United yamnasa Martial Manchester United imemnasa mshambuliaji wa Monaco, Anthony Martial baada kupewa ruhusu kuondoka katika kambi ya Ufaransa na kusafiri kwenda England, lilithibisha Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baada ya Brazuca, macho ni usajili Ulaya

FAINALI za Kombe la Dunia zimefikia tamati jana usiku katika Uga wa Maracana Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil na mshindi wa fainali hizo kupatikana kila mtu akisema lake kutokana...

 

10 years ago

BBCSwahili

Vilabu vya Ulaya na Tetesi za usajili .

Timu ya Manchester United iko tayari kutoa paundi milioni 120 kwaajili ya kumsajili winga Gareth Balle

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani