Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vilabu vya Ulaya na Tetesi za usajili .

Timu ya Manchester United iko tayari kutoa paundi milioni 120 kwaajili ya kumsajili winga Gareth Balle

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Tetesi za mawindo ya usajili Ulaya

Manchester United inaweza kutumia mpaka kiasi cha pauni milioni 350 kwa kipindi cha miaka miwili katika kusajili wachezaji wapya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tetesi za usajili Barani ulaya

Real Madrid wako tayari kuvunja rekodi kwa kwa mlinda mlango David De Gea toka klabu ya Man United.

 

9 years ago

MillardAyo

Pep Guardiola yupo Kenya kutafakari ofa za vilabu vya Ulaya, huu ni uthibitisho ndani ya Kenya …

Kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola ambaye pia anahusishwa kutaka kujiunga na vilabu vya Man United, Chelsea na kwa kiasi kikubwa Man City, December 28 aliwasili uwanja wa ndege wa Kenya JKIA kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu ya mwaka mpya. Uwepo wa Guardiola Kenya ambapo amepokelewa na Gavana wa Mombasa […]

The post Pep Guardiola yupo Kenya kutafakari ofa za vilabu vya Ulaya, huu ni uthibitisho ndani ya Kenya … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu tarehe 24.02.2020: Tetesi za uhamisho wa Zlatan, Smalling, Mkhitaryan, Phillips, Kostic

Mkurugenzi wa masuala ya kiufundi wa klabu wa AC Milan Paolo Maldini anasema Mswidi Zlatan Ibrahimovic, mwenye umri wa miaka 38, amefanya marekebisho ya kipengele cha mkataba wake iwapo Wataliano watafuzu kuingia Championi. (Mail)

 

9 years ago

MillardAyo

Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika …

Mtu wangu wa nguvu najua headlines za usajili wa dirisha dogo kwa Bongo zimepita na sasa tunaelekea katika usajili wa dirisha dogo la mwezi January barani Ulaya, tumeona vilabu vya Man United na Tottenham Hotspurs vikiwania saini ya mchezaji wa Algeria anayekipiga katika klabu ya Leicester City Riyad Mahrez. Mtu wangu wa nguvu kabla ya dirisha […]

The post Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika … appeared first on...

 

9 years ago

BBCSwahili

Vilabu Uingereza vyaweka rekodi mpya Usajili

Vilabu vya Uingereza vimeweka rekodi mpya kwa kutumia pesa nyingi zaidi katika historia ya Ligi ya Premier kuwasajili wachezaji

 

10 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Usajili

Arsenal na Liverpool wanachuana Juventus katika kuwania saini ya beki wa kulia wa Barcelona Martin Montoya, mwenye miaka 23 .

 

10 years ago

BBCSwahili

Tetesi za usajili: De Gea kuuzwa ?

Mustakabali wa kipa David de Gea kusalia Manchester United upo shakani

 

11 years ago

Michuzi

MEGATRADE YAVIPIGA JEKI VILABU VYA POLISI KILIMANJARO NA MACHAVA FC VYA MJINI MOSHI

Meneja masoko wa kampuni ya Megatrade (T) Ltd,Goodluck Kway akimkabidhi mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama Mpira ikiwa ni sehemu ya msaada kwa timu ya soka ya Machava fc inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro.shoto kwake ni Meneja mauzo wa Kampuni ya Megatrade(T)Ltd kanda ya kaskazini Edimund Lutaraka. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama akimkabidhi jezi nahodha wa timu ya Machava ,Dickson Muganda.Jezi hizo zenye thamani ya kiasi cha sh Milioni 3...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani