Pep Guardiola yupo Kenya kutafakari ofa za vilabu vya Ulaya, huu ni uthibitisho ndani ya Kenya …
Kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola ambaye pia anahusishwa kutaka kujiunga na vilabu vya Man United, Chelsea na kwa kiasi kikubwa Man City, December 28 aliwasili uwanja wa ndege wa Kenya JKIA kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu ya mwaka mpya. Uwepo wa Guardiola Kenya ambapo amepokelewa na Gavana wa Mombasa […]
The post Pep Guardiola yupo Kenya kutafakari ofa za vilabu vya Ulaya, huu ni uthibitisho ndani ya Kenya … appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Wakati Man United na Chelsea ikiwaza namna ya kupata saini ya Pep Guardiola, kutana na pichaz zake akitalii Kenya …
Kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola December 29 aliingia kwenye headlines baada ya kutua Kenya kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu ya Christimas na mwaka mpya, ujio wake Kenya uliwashangaza wengi kutokana na kuja kimya kimya. Ninazo pichaz za Pep Guardiola akitalii Kenya wakati ambao vilabu vya Chelsea na Man United vikitajwa kwa […]
The post Wakati Man United na Chelsea ikiwaza namna ya kupata saini ya Pep Guardiola, kutana na pichaz zake akitalii Kenya … appeared...
5 years ago
BBCSwahili26 Feb
Real Madrid v Man City: Kwanini Pep Guardiola huenda akafanya maaajabu katika Ligi ya Mabingwa Ulaya
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Vilabu vya Ulaya na Tetesi za usajili .
11 years ago
Mwananchi01 May
Pep Guardiola: Nilaumiwe mimi
5 years ago
The Liverpool Offside11 Mar
Pep Guardiola Calls For Suspension Of Premier League
5 years ago
Barca Blaugranes21 Feb
Pep Guardiola takes a shot at Barcelona over FFP sanctions
5 years ago
The Guardian06 Apr
Pep Guardiola's mother dies aged 82 after contracting coronavirus
5 years ago
Mirror Online01 Apr
Cesc Fabregas snubs Pep Guardiola when naming his two best coaches
5 years ago
Daily Mail07 Apr
Ederson leads tributes for Pep Guardiola's mother who died from coronavirus