Maziko ya Emmanuel Makaidi
Aliyekuwa mwenyekiti mwenza wa chama cha UKAWA nchini Tanzania, Dkt. Emmanuel Makaidi ambaye aliaga dunia siku tano zilizopita, amezikwa leo mjini Dar es Salaam.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLMWENYEKITI WA NLD, EMMANUEL MAKAIDI AFARIKI DUNIA
10 years ago
Mwananchi27 May
UCHAGUZI UPINZANI 2015: Dk Emmanuel Makaidi, Mwenyekiti NLD
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Dk Emmanuel Makaidi amefariki
9 years ago
Michuzi15 Oct
ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UKAWA NA NLD. EMMANUEL MAKAIDI AFARIKI DUNIA
WASIFU WA MAREHEMU KWA UFUPI:Dk Emmanuel Makaidi alikuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha NLD na ni mhandisi aliyebobea. Alizaliwa Aprili 10, 1941 huko wilayani Masasi mkoani Mtwara. Baba yake mzazi alikuwa ni katekista wa Kanisa la Anglikana.
Alianza elimu katika Shule ya Msingi Namalenga wilayani Masasi kati ya mwaka 1948 – 1952, mwaka 1953 – 1954 alisoma katika Shule ya Kati (Middle school)...
9 years ago
MichuziMAMIA WAAGA MWILI WA DK.EMMANUEL MAKAIDI VIWANJA VYA KARIMJEE DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
VijimamboLOWASSA AONGOZA MAMIA KUUAGA MWILI WA DK.EMMANUEL MAKAIDI VIWANJA VYA KARIMJEE DAR ES SALAAM LEO
Wananchi wakiwa wamejipanga foleni wakati wakienda kutoa...
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Mazishi ya Dk.Emmanuel Makaidi kufanyika makaburi ya Sinza, mwili wake kuagwa leo asubuhi Viwanja vya Karimjee jijini Dar
Mjane wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Dk. Emmanuel Makaidi, Modesta Ponela Makaidi akiwa katika huzuni baada ya kuondokewa na mpendwa wake.
Mtoto wa kwanza wa Dk. Makaidi, Hilda Emmanuel Makaidi akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).
Mtoto wa marehemu Mhandisi Emmanueli Makaidi (kulia), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ratiba ya mazishi ya baba yake.
Ndugu, jamaa, marafiki na waombolezaji wakiwa msibani nyumbani kwa Dk.Makaidi...
9 years ago
VijimamboMAZISHI YA DK.EMMANUEL MAKAIDI KUFANYIKA MAKABURI YA SINZA, MWILI WAKE KUAGWA KESHO ASUBUHI VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM
Mtoto wa kwanza wa Dk. Makaidi, Hilda Emmanuel Makaidi akizungumza na wanahabari (hawapo pichani)
Mtoto wa marehemu Mhandisi Emmanueli Makaidi (kulia), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ratiba ya mazishi ya baba yake.Ndugu, jamaa, marafiki na waombolezaji wakiwa msibani nyumbani kwa Dk.Makaidi Sinza.Mjane wa...
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Dk. Makaidi: Wa kulaumiwa ni JK
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Dk. Emmanuel Makaidi, amesema uteuzi wa mke wake kuwa mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba siyo kosa la chama chake cha NLB, bali ni...