Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAZIKO YA MSHAURI WA RAIS UTALII ZANZIBAR


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dk.Amani Abeid Karume (kulia) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhaj Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Viongozi wengine na waislamu mbali mbali wakijumuika kwa pamoja kumswalia aliyekuwa Mshauri wa Rais wa Utalii Marehemu Issa Ahmed Othman katika Masjid Mahfoudh Mazizini, Marehemu alifariki juzi Nchini India na kuzikwa leo Kianga Wilaya ya Magharibi Unguja.Rais...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAZIKO YA MSHAURI WA RAIS UTALII YAFANYIKA ZANZIBAR

unnamed Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dk.Amani Abeid Karume (kulia) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhaj Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Viongozi wengine na waislamu mbali mbali wakijumuika kwa pamoja kumswalia  aliyekuwa Mshauri wa Rais wa Utalii Marehemu Issa Ahmed Othman katika Masjid Mahfoudh Mazizini, Marehemu alifariki juzi Nchini India na kuzikwa leo Kianga Wilaya ya Magharibi...

 

10 years ago

Michuzi

tanzia: Issa Ahmed Othman aliyekuwa Mshauri wa Rais Zanzibar katika masuala ya Utalii afariki dunia

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wa CCM na wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa nyumbani alipozaliwa marehemu Issa Ahmed Othman Mshauri wa Rais Zanzibar katika masuala ya Utalii,aliyefariki nchini India alipoenda kwa matibabu.Katibu Mkuu alitoa salaam za pole kwa familia ya marehemu na ndugu zake kupokelewa na kaka wa marehemu Othman Ahmed Othman nyumbani kwao Shenge Juu, Pemba.

Na Abdulla Ali - Maelezo, Zanzibar                             
Aliyekuwa...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AHUDHURIA MAZIKO YA MAREHEMU ALI SALIM HAFIDH NA AZUNGUMZA NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA IKULU ZANZIBAR.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ali Salim Hafidh, aliyekuwa Msaidi wa Rais Hutuba , maziko hayo yamefanyika katika makaburi ya family Fuoni Mambosasa  Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein , (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kulia kwa Rais) Rais Mstaaf wa Zanzibar...

 

10 years ago

Habarileo

Mshauri wa Rais Zanzibar afariki dunia

Issa Ahmed Othman enzi za uhai wakeALIYEKUWA Mshauri wa Rais wa Masuala ya Utalii katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Issa Ahmed Othman ambaye alifariki dunia Januari 25 akiwa katika matibabu nchini India, amezikwa juzi katika kijiji cha Kianga nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA MAZIKO YA JAJI WA MAHKAMA KUU ZANZIBAR MKUSA SEPETU ALIYEZIKWA KIJIJI KWAO MBUZINI UNGUJA LEO.



 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitia mchanga katika kaburi lililokuwa na  mwili wa Marehemu Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Jaji Mkusa Sepetu , wakati wa maziko hayo yaliofanyika Kijiji kwao Mbuzini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 16-2-2020( RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZIKO YA WANA CCM WALIOPATA AJALI JANA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja aliyefariki kwa ajali ya gari iliyopinduka huko Mtowapwani Kaskazini jana na kuzikwa leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akishiriki katika swala ya maiti kumswalia Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DK.SHEIN AHUDHURIA MAZIKO YA WAZIRI KIONGOZI MSTAAF RAMADHAN HAJIN FAKI KIJIJI KWAO MKWAJUNI ZANZIBAR



MAKAMANDA wa JWTZ wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa Marehemu Ramadhani Haji Faki wakiingia katika viwanja vya Masjid Mushawar Muembeshauri Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya kuusala na kuuombea duaNDUGU na Jamaa wa Marehemu Ramadhan Haji Faki Waziri Kiongozi Mstaaf wa Zanzibar, wakiwa wamebeba jeneza likiwa na mwili wa marehemu wakiingia katika Masjid...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DK SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI UTALII NA MAMBO YA KALE ZANZIBAR



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk. Ali Mohamed. Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, wakati wa kuwasilisha Utekelezaji wa Mpango Kazi  kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika ukumbi wa Ikulu leo 19-2-2020, Jijini Zanzibar.WAKURUGENZI wa  Idara na Mashirika...

 

9 years ago

Habarileo

Mshauri wa Maalim Seif awekewa pingamizi Zanzibar

MANSOUR Yussuf Himid ambaye ni mshauri wa siasa wa mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, amewekewa pingamizi na mgombea wa CCM kwa madai ya kuwasilisha taarifa za uongo katika makosa yanayomkabili ya kukamatwa na silaha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani