Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAZISHI YA ANDREA DUMA BABA WA MWANDISHI WA HABARI WA MOblog SINGIDA‏

Jeneza lililobeba mwili wa mchungaji mstaafu wa kanisa la Free Pentekoste (FPCT) Ihanja wilaya ya Ikungi, Andrew Duma (92). Katibu mkuu wa makanisa ya Free Pentekoste nchini,Elias Shija, akihubiri kwenye ibada ya mazishi ya mchungaji mstaafu wa Free Pentekoste Ihanja wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Andrea Duma.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAZISHI YA ANDREA DUMA BABA WA MWANDISHI WA HABARI WA MOblog SINGIDA

DSC00331Jeneza lililobeba mwili wa mchungaji mstaafu wa kanisa la Free Pentekoste (FPCT) Ihanja wilaya ya Ikungi, Andrew Duma (92).DSC00343Katibu mkuu wa makanisa ya Free Pentekoste nchini,Elias Shija, akihubiri kwenye ibada ya mazishi ya mchungaji mstaafu wa Free Pentekoste Ihanja wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Andrea Duma.DSC00357Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) Singida mjini, Hassan Mazala, akitoa nasaha zake kwenye ibada ya mazishi ya mchungaji mstaafu wa kanisa la Free Pentekoste Ihanja wilaya ya...

 

10 years ago

Michuzi

WENGI WAJITOKEZA MAZISHI YA MWANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO, MAREHEMU BARAKA KARASHANI LEO

 Mwili wa Mwandishi wa Habari marehemu Baraka Karashani ukiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande) Mke wa Marehemu, Baraka Karashani, Gloria na watoto wake Bonny na Belinda wakiweka shada la maua katika kaburi wakati wa mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es SalaamMzee Phili Karashani akitoa neno la shukrani wakati wa mazishi ya mtoti wake Baraka Karashani. Mtoto wa marehemu, Baraka Karashani akiwa ameshika picha ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mazishi ya mwandishi wa habari “Thomas Lipuka Komba”aliyezikwa kijijini kwao Mkili wilayani Nyasa

MAZII4

Baadhi ya Waandishi wa habari wakiwa mbele ya sanduku Marehemu Lipuka Komba.

MAZII3

Baadhi ya waandishi wa habari wa Mkoa wa Ruvuma wakishusha sanduku kaburini.

MAZII2

Katibu mtendaji wa Ruvuma Press akichukuwa matukio.

MAZI1

Mjane wa marehemu Christina Haule akiweka shada la maua.

Mwandishi wa habari Thomas Lipuka Komba amezikwa kijijini kwake Mkili wilayani Nyasa Juzi.

 Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Moyo kwa muda mrefu hali iliyosababisha kifo cha ghafla.

Marehemu Thomas Lipuka Komba ni...

 

5 years ago

Michuzi

MAMIA YA WAOMBOLEZAJI JIJINI DAR WAJITOKEZA KATIKA MAZISHI YA MWANDISHI MKONGWE WA HABARI ZA MICHEZO NCHINI ASHA MUHAJI 

Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

MAMIA ya waombolezaji wakiwemo waandishi wa habari wa kada mbalimbali na wanamichezo wamejitokeza law wingi katika mazishi ya aliyekuwa Mwandishi wa habari nguli za michezo Asha Muhaji(50) ambaye amezikwa katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni jijini Dar es Salaam.

Katika mazishi ya marehemu Asha ,viongozi wa vitabu mbalimbali na wadau wa soka wameeleza kuwa kifo chake kimeacha pengo kubwa kubwa katika tasnia ya Michezo na sekta ya habari hasa za Michezo...

 

10 years ago

GPL

PAUL MAKONDA AONGOZA MAMIA MAZISHI YA BABA WA STEVE NYERERE‏

 Marehemu Francis Festus Mengele, enzi za uhai wake.  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Francis Festus Mengele.  Shangazi wa Msanii, Steve Nyerere, Grace Mengele (katikati), akiwa na wadogo zake Steve Nyerere wakati akiwasili makaburi ya Kinondoni kwa mazishi ya mpendwa wao, Francis Mengele.… ...

 

10 years ago

GPL

IBADA MAALUM YA MAZISHI YA BABA MPENDWA WA MAMERTHA NA HENRY KENTE JUMATANO‏

Pcha ya baba mzazi waMamertha na Henry Kente Mr. Wilbard W. Kente enzi ya uhai wake  Mamertha na Deo wakifuatilia ibada ya mazishi ya Mr. Wilbard Kente baba mzazi wa Mamertha na Henry aliyefariki siku ya Jumapili Feb 1, 2015 Tanzania na kuzikwa siku ya Jumatano Februari 4, 3015 Mbezi jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na ibada ya mazishi iliyofanyika siku hiyo ya… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Camera ya MOblog yamulika wakazi wa mji wa Singida wakifuatilia hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA

DSC00750

Baadhi ya wakazi wa mji wa Singida ,wakifuatilia kwa makini hutoba ya mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe, wakati akihutubia Watanzania kupitia kituo cha televisheni cha ITV jana kwenye mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama hicho cha upinzani.(Picha na Nathaniel Limu).

DSC00753

 

 

11 years ago

GPL

MOblog INAOMBA RADHI KWA WASOMAJI WAKE‏

Mtandao wako wa habari www.modewjiblog.com unaomba radhi wa wasomaji wake kwa kutokuwa hewani kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza siku ya Jumamosi ambayo yameshughulikiwa na wataalamu wetu. Kwa hivyo tunapenda kuwapa taarifa kuwa mtandao wetu umerudi hewani katika hali yake ya kawaida. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza husani kwa wasomaji wetu pamoja na wadhamini wetu BancABC, East Coast Oils and Fats...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani