Mazungumzo ya amani Mashariki ya kati
Muda wa mwisho uliowekwa na Marekani wa mpango wa mashariki ya kati umemalizika
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/1EvH6RK7gis/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Mazungumzo ya amani yakwama
Mazungumzo ya kusaka amani kati ya pande mbili hasimu huko Sudan Kusini yamekwama huku mapigano makali kati ya jeshi la Serikali na waasi wanaoongozwa na makamu wa zamani wa Rais wa nchi hiyo Riek Machar yakiendelea.
10 years ago
MichuziMAZUNGUMZO YA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA COMORO YAFANYIKA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb),akimkaribisha Wizarani Waziri wa Mambo ya Nje wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe El-Anrif Said Hassane kwa mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Comoro.
11 years ago
BBCSwahili11 Feb
Waasi wasusia mazungumzo ya amani
Waasi wa Sudan Kusini wasema hawatashiriki katika awamu ya pili ya mazungumzo ya amani hadi wafungwa wote wa kisiasa watakapoachiliwa huru
9 years ago
BBCSwahili15 Dec
UN yaandaa mazungumzo ya amani ya Yemen
Usitishwaji wa mapigano Yemen umeanza sambamba na mazungumzo ya amani yanayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa nchini Uswisi.
10 years ago
BBCSwahili13 May
Mazungumzo ya kutafuta amani Burundi
Marais Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana leo jijini Dar Es Salaam kujadili mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini Burundi.
9 years ago
BBCSwahili28 Dec
Kizingiti mazungumzo ya amani Burundi
Mazungumzo kuhusu mzozo wa kisiasa Burundi yamefanyika nchini Uganda, ingawa washiriki wamekosa kuelewana kuhusu siku ya kuanza kwa mazungumzo kamili.
10 years ago
BBCSwahili19 Jul
Burundi:Mazungumzo ya amani yakwama
Mazungumzo ya mwisho ya kuzima msukosuko wa kisiasa wa Burundi, yamesimamishwa, siku mbili kabla ya uchaguzi wa rais.
10 years ago
BBCSwahili23 Jun
Mazungumzo ya amani Burundi kuanza tena
Mazungumzo ya kutafuta amani nchini Burundi yanatarajiwa kuanza tena leo baada ya kusitishwa, kwa siku kadhaa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania