Mazungumzo ya Sudan.K kufanyika Ethiopia
Pande zinazozozana nchini Sudan Kusini zinatarajiwa kufanya mazungumzo zaidi nchini Ethiopia hivi leo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili09 Jun
Sudan K:Mazungumzo yatibuka Ethiopia
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar watakutana Jumanne katika juhudi za kumaliza mzozo wa kisiasa ambao umekumba nchi hiyo kwa miezi sita.
10 years ago
MichuziRais Kikwete afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Ikulu Dar es salaam
10 years ago
VijimamboRais Kikwete afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Ikulu Dar es Salam
11 years ago
BBCSwahili31 Dec
Sudan Kusini wakubali mazungumzo
Waasi nchini Sudan Kusini wamekubali kuingia katika mazungumzo ya amani baada ya kuuteka tena mji wa Bor
11 years ago
BBCSwahili04 Jan
Mazungumzo ya Sudan Kusini yakwama
Matumaini ya kupatikana kwa amani Sudan Kusini yameingia mashakani baada ya mazungumzo ya uso kwa uso ya pande zinazopingana yaliyokuwa yakitarajiwa kufanyika nchini Ethiopia kuchelewa.
11 years ago
BBCSwahili17 Jun
Mazungumzo ya Sudan-K bado kizungumkuti
Awamu mpya ya mazungumzo yanayolenga kumaliza mapigano ya ya miezi sita nchini Sudan Kusini imeahirishwa mara moja baada ya serikali na waasi kutoa mamasharti mapya.
11 years ago
BBCSwahili11 Feb
Sudan:K:Duru ya pili ya Mazungumzo
Duru ya pili ya mazungumzo ya amani kati ya waasi na serikali nchini Sudan Kusini imeanza Ethiopia.
11 years ago
BBCSwahili10 Feb
Sudan.K: Duru ya pili ya mazungumzo
Mazungumzo ya kusitisha mapigano nchini Sudan Kusini kati ya Waasi na serikali yataanza tena leo mjini Adis Ababa Ethiopia baada ya mkataba wa kwanza kutotiliwa maanani
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Makamanda wa Sudan.K wakutana Ethiopia
Makamanda wa kijeshi kutoka pande mbili zinazopigana nchini Sudan Kusini wanakutana mjini Addis Ababa nchini Ethiopia
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania