Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mb Dog aendelea kufunga mkanda

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MWIMBAJI wa muziki wa kizazi kipya, Mbwana Mohamed Mb Dog, amesema baada ya kuachia video yake ya ‘Mbona Umenuna’, anaendelea na juhudi za kuwapatia raha wadau na mashabiki wake kama njia ya kuonyesha makali yake kisanaa.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mb Dog alisema video yake imeandaliwa kwa kiwango cha juu, huku ikiwa ni sababu ya yeye kuendelea kutoa nyimbo nzuri zinazoonyesha ubora wake. Mb Dog, pichani.

Alisema kuwa lengo lake ni kufanya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza

magufuli3

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha  ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni

CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...

 

9 years ago

Mwananchi

Nigeria yanasa mkanda wa Stars

Nahodha wa muda wa Nigeria, Ahmed Mussa amesema wameisoma Tanzania kupitia mkanda wa video waliounasa ambao utawasaidia katika mchezo wa kesho wa kufuzu kwa fainali za Afrika mwaka 2017.

 

9 years ago

BBCSwahili

Jeshi lapuuza mkanda wa Shekau

Jeshi la Nigeria limepuuzilia mbali mkanda wa sauti unaodhaniwa kuwa wa kinara mkuu wa kundi la Boko Haram, Abubakar Shekau

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujinga, tamaa vimemvua mkanda Cheka!

SITAKOSEA nikisema kuna laana inaitafuna michezo na ndiyo maana kila kukicha Tanzania imekuwa ikionekana kituko mbele ya uso wa mataifa mengine. Jumamosi ya Desemba 21, bondia Francis Cheka alichezea kichapo...

 

11 years ago

Mwananchi

Chanzo cha kuugua mkanda wa jeshi

Katika mwendelezo wa safu hii kuhusu madhara ya ngozi, leo nitajibu swali la Thomas Lyatuu kuhusu ugonjwa unaojulikana kama mkanda wa jeshi au kwa kitaalamu herpes zoster.

 

9 years ago

BBCSwahili

Tyson Fury amevuliwa mkanda wa IBF

Bingwa wa dunia wa uzito wa juu, Tyson Fury amevuliwa mkanda wa IBF ikiwa ni chini ya wiki mbili baada ya kushinda.

 

9 years ago

Mtanzania

Kanye West azuia mkanda wa ngono sokoni

kanye-west-vmas1NEW YORK, MAREKANI

MSANII wa hip hop nchini Marekani,

NEW YORK, MAREKANI

MSANII wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, ametumia kiasi cha dola milioni 130, kwa ajili ya kuzuia mkanda wa ngono wenye picha zinazofanana na mke wake usiingie sokoni.

Mtandao wa US, umeripoti kwamba, msanii huyo aliamua kufanya hivyo kwa kuwa ndani ya filamu hiyo kuna mrembo anafanana na mke wake, Kim Kardashian.

Kutokana na hali hiyo, Kanye akaona bora atumie fedha hizo ili kuweza kuizuia filamu hiyo isitoke kwa...

 

9 years ago

Bongo5

Tyson Fury anyang’anywa mkanda wa IBF

2EE3DAA800000578-0-Tyson_Fury_became_heavyweight_champion_of_the_world_beating_Wlad-a-56_1449100672375

Bingwa wa ngumi dunia wa uzito wa juu, Tyson Fury amevuliwa mkanda wa IBF ikiwa ni chini ya wiki mbili baada ya kushinda.

2EE3DAA800000578-0-Tyson_Fury_became_heavyweight_champion_of_the_world_beating_Wlad-a-56_1449100672375

Bondia huyo wa Uingereza mwenye miaka 27, mwanzo alitakiwa kukubali kupigana na Vyacheslav Glazkov ili kutetea mkanda huo lakini badala yake amekubali mchezo wa mruadiano dhidi ya Wladimir Klitschko.

Fury alimpiga Klitschko wa Ukraine kwa pointi Novemba 28 mwaka huu na kushinda mikanda mitatu ya uzito wa juu iliyokuwa ikishikiliwa na bondia huyo.

Mwenyekiti wa IBF...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani