Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBASHA NA SIMULIZI YA KUTAKA KUJINYONGA

Brighton Masalu KUMBUKUMBU ya kusikitisha! Siku chache baada ya kushinda kesi ya ubakaji wa shemejiye, Emmanuel Mbasha ameibuka na kusimulia jinsi alivyonusurika kujitoa uhai wakati kesi hiyo ilipokuwa ikiunguruma, Risasi Jumamosi linaandika.  Emmanuel Mbasha.  ‘Akimnong’oneza’ mwandishi wetu kwa njia ya simu Jumatano ya wiki iliyopita katika mahojiano maalum, Mbasha alisema kesi hiyo ilikuwa ikimuumiza moyo na kujiona...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha. Waandishi wetu OHOOO! Kimenuka tena. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwanaye mdogo (jina linahifadhiwa) hahusiani hata kidogo na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha huku akidai kuwa anamtambua mwanaume huyo kama mzazi mwenzake kwa mtoto mmoja tu (Liz), Risasi Jumatano linakupa zaidi. Mtoto anayedaiwa kuibuwa mazito. Akizungumza na...

 

10 years ago

Raia Mwema

Ukinyonga ni kujinyonga?

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

11 years ago

Tanzania Daima

Afa kwa kujinyonga

MKAZI wa Yombo, Baraka Nyaulo (20), amekufa kwa kujinyonga kwa kutumia mkanda wa begi alioutundika kwenye kenchi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibeth Kiondo, alisema jana kuwa Nyaulo aliyekuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Adaiwa kujinyonga hadi kufa

MKAZI wa Morogoro Said Tenga (53), amekutwa amekufa kwa kujinyonga chumbani.

 

11 years ago

GPL

MWINJILISTI ALIVYOMCHINJA MKE, NAYE KUJINYONGA

Stori: Gladness Mallya na Imelda  Mtema, Bagamoyo
YULE Mwinjilisti wa Kanisa la Angilikana lililopo Kijiji cha Gama Makaani wilayani Bagamoyo, Pwani, Elikia Daniel (35) aliyemuua mkewe Mboni Patrick (28) kwa kumchinja  kikatili naye kujinyonga, simulizi yake inashangaza. Baada ya mauaji hayo, waandishi wa Uwazi walikwenda kwenye kijiji hicho kilichopo kilomita 100 kutoka jijini Dar es Salaam na kukutana na ndugu, jamaa,...

 

10 years ago

Habarileo

Tume kuchunguza mwanafunzi kujinyonga hospitali

UONGOZI wa Mkoa wa Kagera, umeunda Kamati kuchunguza chanzo cha kifo cha mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo Manispaa ya Bukoba, aliyejinyonga katika mazingira ya hospitali ya rufaa ya mkoa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Visa vya kujinyonga vyaongezeka Afrika

Shirika la WHO limesema idadi ya watu wanaojitia kitanza imeongezeka sana barani Afrika ikilinganishwa na maeneo mengine duniani

 

11 years ago

Mwananchi

Atumia shuka kujinyonga mpaka kufa

>Watu watano wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwamo la mtu mmoja kujinyonga kwa kutumia shuka yake aliyoifunga kwenye kenchi ya paa la nyumba aliyokuwa anaishi.

 

10 years ago

Vijimambo

BABA AMTOBOA MWANAYE MACHO NA YEYE KUJINYONGA!

Godfrey Joseph Kajuna (45) mkazi Muleba Mkoa wa Kagera ampiga kwa fimbo nzito na kumtoboa macho bintiye wa miaka 12 Agripina Godfrey kisha naye kujinyonga hadi kufaChanzo ni kwamba Baba alitoka na kuwambia wanae kuwa Mama yao akirudi wasimfungulie mlango, hivyo mama aliporudi watoto kwa kumuogopa Baba yao wakakataa kumfungulia Mlango. Basi Mama akaondoka kujihifadhi kwingine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani