MWINJILISTI ALIVYOMCHINJA MKE, NAYE KUJINYONGA
![](http://api.ning.com:80/files/3vKQkh-FlonBMVTnLHqxPSM3yeaVe5*RuvvaNKZLcfslEHIPo9sELtTYhWt28FMGEgMFagAncHZi*Axib1WDhCwUqqW0W4pp/MWINJILISTI.jpg?width=650)
Stori: Gladness Mallya na Imelda Mtema, Bagamoyo YULE Mwinjilisti wa Kanisa la Angilikana lililopo Kijiji cha Gama Makaani wilayani Bagamoyo, Pwani, Elikia Daniel (35) aliyemuua mkewe Mboni Patrick (28) kwa kumchinja kikatili naye kujinyonga, simulizi yake inashangaza. Baada ya mauaji hayo, waandishi wa Uwazi walikwenda kwenye kijiji hicho kilichopo kilomita 100 kutoka jijini Dar es Salaam na kukutana na ndugu, jamaa,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziAMUUA MKE WAKE KISHA YEYE KUJINYONGA MBOZI MBEYA
Na Mwandishi wetu,Mbeya,Jamiimojablog
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanaume mmoja Mkazi wa kijiji cha Malolo Ndugu Chipunguli Mkisi (30) amemuua mke wake kwa kumkata panga kichwani kisha yeye mwenyewe kujiua kwa kujinyonga.
Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ndugu Ahmed Msangi amesema tukio hilo la aina yake limetokea Desemba 15 mwaka huu majira ya saa 7 mchana huko katika kijiji cha Malolo, Kata ya Msia, wilaya ya...
10 years ago
Habarileo23 Sep
Aliyeua mke kwa wivu naye auawa
WATU wenye hasira wamempiga hadi kumuua mwanamume, aliyemuua mke wake kwa kumpiga rungu tumboni.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ho7RWhwBiVd1-hvLcAdDj5ZREmv1sT0LiceItyxvwmwD93Zmf8Wk4vQGGCtPQyyp2lIqfIjWB5SG2XtrlUjSYj77wZi*wifu/baba.jpg?width=650)
BABA ALIVYOMCHINJA MWANAYE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0bfNFAOzL1QYHEnMqIcsK*fl*dULyuJ18U9sos*eyVahEDNpF62JQgRvfdhBV0hFk8EaLYRUcroXl9tFD4l0LI*o5-wWXtC4/ustadhi.jpg?width=650)
USTADH ALIVYOMCHINJA MTOTO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dj7KjSQgc-SH5vFbeCgeVje-i6P4UrP1tRrAEYfGv43Mpz3q0uQMaM2t3yRvlkVD7uGcSjYagVROxttrTijWVC9ZjrzOfJ55/FRONTUWAZI.jpg)
BABA ALIVYOMCHINJA MWANAYE DAR!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N3a4E7n0BnfYI-4La6tXsG87NO40F8P*QSbfVV6fzDhMSIX*Sebk6Av9OpbTs8-cJ6QKOTCunUR0vNOFfwAp89taz2FhUZ1U/FRONTUWAZI.jpg)
HIVI NDIVYO MUME ALIVYOMCHINJA MKEWE HOTELINI
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
Mwinjilisti auawa akifanya maombi
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi.
Na Mwandishi wetu
MWINJILISTI wa Kanisa la Baptist, lililopo halmshauri ya Busokelo wilayani Rungwe, mkoani Mbeya, Ambumbulwisye Mwasomola (35), ameuawa kwa kupigwa na mchi kichwani na mtu aliyekuwa akimuombea.
Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo wanadai aliyekuwa akiombewa alikuwa na tatizo la akili.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema tukio hilo limetokea Septemba 27, mwaka huu majira ya saa tano usiku
Msangi...
11 years ago
Habarileo17 May
Mwinjilisti kutoka DRC akamatwa
MWINJILISTI wa Kanisa la Umoja wa Watume wa Kristu, Kiyombo Folibe (39) ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ametiwa hatiani kwa makosa mawili ya kuingia nchini kinyume cha sheria na kufanya kazi nchini bila kibali.
9 years ago
Mtanzania11 Sep
Mwinjilisti auawa kwa mishale
NA UPENDO MOSHA, KILIMANJARO
MWINJILISTI wa Kanisa la Wasabato wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, Yese Milenyi (50), ameuawa kwa kuchomwa mishale na watu wasiojulikana.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Flugence Ngonyani, alisema Mwinjilisti Milenyi aliuawa Septemba 8, mwaka huu saa 1:14 jioni katika Kijiji cha Mahongo Mterini.
Kamanda Ngonyani alisema mwinjilisti huyo, aliuawa kwa kupigwa kwa mishale miwili sehemu ya shavu la...