Mwinjilisti auawa akifanya maombi
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi.
Na Mwandishi wetu
MWINJILISTI wa Kanisa la Baptist, lililopo halmshauri ya Busokelo wilayani Rungwe, mkoani Mbeya, Ambumbulwisye Mwasomola (35), ameuawa kwa kupigwa na mchi kichwani na mtu aliyekuwa akimuombea.
Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo wanadai aliyekuwa akiombewa alikuwa na tatizo la akili.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema tukio hilo limetokea Septemba 27, mwaka huu majira ya saa tano usiku
Msangi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog01 Oct
Mwijilisti auawa akifanya maombi
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi.
Na Mwandishi wetu
MWINJILISTI wa Kanisa la Baptist, lililopo halmshauri ya Busokelo wilayani Rungwe, mkoani Mbeya, Ambumbulwisye Mwasomola (35), ameuawa kwa kupigwa na mchi kichwani na mtu aliyekuwa akimuombea.
Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo wanadai aliyekuwa akiombewa alikuwa na tatizo la akili.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema tukio hilo limetokea Septemba 27, mwaka huu majira ya saa tano usiku
Msangi...
10 years ago
Mtanzania11 Sep
Mwinjilisti auawa kwa mishale
NA UPENDO MOSHA, KILIMANJARO
MWINJILISTI wa Kanisa la Wasabato wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, Yese Milenyi (50), ameuawa kwa kuchomwa mishale na watu wasiojulikana.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Flugence Ngonyani, alisema Mwinjilisti Milenyi aliuawa Septemba 8, mwaka huu saa 1:14 jioni katika Kijiji cha Mahongo Mterini.
Kamanda Ngonyani alisema mwinjilisti huyo, aliuawa kwa kupigwa kwa mishale miwili sehemu ya shavu la...
11 years ago
Mwananchi11 Oct
Mwalimu sekondari auawa kanisani maombi
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Mwinjilisti aua mkewe, ajinyonga
MWINJILISTI wa Kanisa la Anglikana, Elikia Daniel (35), mkazi wa Kijiji cha Gama, wilayani Bagamoyo, Pwani, amemuua mkewe, Mboni Patrick (28) kwa kumkata na panga kichwani na kisha kumfukia kwa...
10 years ago
Habarileo02 Jan
Mwinjilisti atupwa jela miaka 30
MAHAKAMA ya Mkoa wa Tabora i m e m h u k u m u Mwinjilisti wa Kanisa la Menonite Ipuli Manispaa ya Tabora, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji wa msichana wa miaka 16.
11 years ago
Habarileo17 May
Mwinjilisti kutoka DRC akamatwa
MWINJILISTI wa Kanisa la Umoja wa Watume wa Kristu, Kiyombo Folibe (39) ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ametiwa hatiani kwa makosa mawili ya kuingia nchini kinyume cha sheria na kufanya kazi nchini bila kibali.
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Mwinjilisti adaiwa kumuua mkewe
11 years ago
GPL
MWINJILISTI ALIVYOMCHINJA MKE, NAYE KUJINYONGA
10 years ago
Habarileo19 Mar
Mwinjilisti matatani kwa wahamiaji haramu
JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Mwinjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Chekereni wilayani Moshi vijiji, Mbazi Manase (36) kwa tuhuma za kuwahifadhi wahamiaji haramu wanne raia wa Ethiopia.