Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwinjilisti kutoka DRC akamatwa

MWINJILISTI wa Kanisa la Umoja wa Watume wa Kristu, Kiyombo Folibe (39) ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ametiwa hatiani kwa makosa mawili ya kuingia nchini kinyume cha sheria na kufanya kazi nchini bila kibali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Global Publishers

Madereva Kutoka Tanzania Watekwa Nchini DRC

whatsapp-image-2016-09-15-at-8-34-33-am-750x375

Baadhi ya magari yanayodaiwa kuchomwa moto.

Chama cha Wamiliki wa Magari ya Mizigo nchini Tanzania (TATOA) kinaripoti kwamba, waasi wa Mai Mai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wamewateka nyara madereva wa Tanzania na kuchoma baadhi ya magari ya mizigo. Waasi hao wanadai dola za Kimarekani elfu nne (karibu shilingi za Kitanzania milioni tisa) kwa kila dereva ama sivyo watawapiga risasi madereva wote. Pia waasi hao wametoa siku ya mwisho (deadline) ya majeshi yanayolinda amani...

 

10 years ago

Vijimambo

BILEKU MPASI KUTOKA CONGO (DRC) NA MASHUJAA BAND KUFANYA ONESHO LA PAMOJA DISEMBA 12

Rais wa Band ya Mashujaa, Chalz Baba (kushoto), akitoa burudani mbele ya wanahabari Dar es Salaam leo, kuhusu onesho hilo litakalofanyika katika ukumbi huo.. Kutoka kulia ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Mabibo, Joseph Emanuel na Ofisa Uhusiano wa Band ya Mashujaa, King Dodo la Buche. Ofisa Uhusiano wa Band ya Mashujaa, King Dodo la Buche (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu onesho hilo. Kulia ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Mabibo, Joseph Emanuel na Rais wa Band ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwinjilisti auawa akifanya maombi

DSC00217

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi.

Na Mwandishi wetu

MWINJILISTI wa Kanisa la Baptist, lililopo halmshauri ya Busokelo wilayani Rungwe, mkoani Mbeya, Ambumbulwisye Mwasomola (35), ameuawa kwa kupigwa na mchi kichwani na mtu aliyekuwa akimuombea.

Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo wanadai aliyekuwa akiombewa alikuwa na tatizo la akili.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema tukio hilo limetokea Septemba 27, mwaka huu majira ya saa tano usiku

Msangi...

 

9 years ago

Mtanzania

Mwinjilisti auawa kwa mishale

RPCNA UPENDO MOSHA, KILIMANJARO

MWINJILISTI wa Kanisa la Wasabato wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, Yese Milenyi (50), ameuawa kwa kuchomwa mishale na watu wasiojulikana.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Flugence Ngonyani, alisema Mwinjilisti Milenyi aliuawa Septemba 8, mwaka huu saa 1:14 jioni katika Kijiji cha Mahongo Mterini.

Kamanda Ngonyani alisema mwinjilisti huyo, aliuawa kwa kupigwa kwa mishale miwili sehemu ya shavu la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwinjilisti aua mkewe, ajinyonga

MWINJILISTI wa Kanisa la Anglikana, Elikia Daniel (35), mkazi wa Kijiji cha Gama, wilayani Bagamoyo, Pwani, amemuua mkewe, Mboni Patrick (28) kwa kumkata na panga kichwani na kisha kumfukia kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwinjilisti adaiwa kumuua mkewe

Mwinjilisti wa Kanisa la Anglikana Kijiji cha Gama, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, anadaiwa kumuua mkewe kwa wivu wa mapenzi, kwa kumpiga na panga kichwani kisha kumfukia chini ya magogo aliyoandaa kwenye tanuri la mkaa porini.

 

10 years ago

Habarileo

Mwinjilisti atupwa jela miaka 30

MAHAKAMA ya Mkoa wa Tabora i m e m h u k u m u Mwinjilisti wa Kanisa la Menonite Ipuli Manispaa ya Tabora, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji wa msichana wa miaka 16.

 

9 years ago

Mwananchi

Mwinjilisti auwawa kwa kuchomwa mishale

Mwinjilisti wa Kanisa la Waadiventisha Wasabato, Yese Mileyi (50) ameuwawa kwa kuchomwa mishale miwili na watu wasiojulikana ambapo mshale mmoja ulimpata shavuni na mwingime mgongoni  na kufariki dunia hapo hapo.

 

11 years ago

GPL

MWINJILISTI ALIVYOMCHINJA MKE, NAYE KUJINYONGA

Stori: Gladness Mallya na Imelda  Mtema, Bagamoyo
YULE Mwinjilisti wa Kanisa la Angilikana lililopo Kijiji cha Gama Makaani wilayani Bagamoyo, Pwani, Elikia Daniel (35) aliyemuua mkewe Mboni Patrick (28) kwa kumchinja  kikatili naye kujinyonga, simulizi yake inashangaza. Baada ya mauaji hayo, waandishi wa Uwazi walikwenda kwenye kijiji hicho kilichopo kilomita 100 kutoka jijini Dar es Salaam na kukutana na ndugu, jamaa,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani