Mwinjilisti auwawa kwa kuchomwa mishale
Mwinjilisti wa Kanisa la Waadiventisha Wasabato, Yese Mileyi (50) ameuwawa kwa kuchomwa mishale miwili na watu wasiojulikana ambapo mshale mmoja ulimpata shavuni na mwingime mgongoni na kufariki dunia hapo hapo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania11 Sep
Mwinjilisti auawa kwa mishale
NA UPENDO MOSHA, KILIMANJARO
MWINJILISTI wa Kanisa la Wasabato wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, Yese Milenyi (50), ameuawa kwa kuchomwa mishale na watu wasiojulikana.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Flugence Ngonyani, alisema Mwinjilisti Milenyi aliuawa Septemba 8, mwaka huu saa 1:14 jioni katika Kijiji cha Mahongo Mterini.
Kamanda Ngonyani alisema mwinjilisti huyo, aliuawa kwa kupigwa kwa mishale miwili sehemu ya shavu la...
11 years ago
CloudsFM07 Aug
MPIGA DEBE IRINGA AUWAWA KWA KUCHOMWA KISU STAND NJE YA KITUO CHA POLISI
DENI la Sh 2,000 limetosha kumaliza uhai wa mpiga debe maarufu wa stendi ya mabasi yaendeayo mikoani ya mjini Iringa, Samwel Yengayenga baada ya kuchomwa kisu mara mbili katika eneo la mgongoni na kifuani.
Tukio hilo la kinyama limetokea leo majira ya saa 6.55 mchana baada ya Yengayenga na mtuhumiwa wa mauaji yake aliyekuwa akidai kiasi hicho cha fedha kurushiana maneno makali na kisha kupigana.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi...
10 years ago
Habarileo19 Mar
Mwinjilisti matatani kwa wahamiaji haramu
JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Mwinjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Chekereni wilayani Moshi vijiji, Mbazi Manase (36) kwa tuhuma za kuwahifadhi wahamiaji haramu wanne raia wa Ethiopia.
10 years ago
GPLKIBAKA WA BODABODA AFA KWA KUCHOMWA MOTO DAR KWA KUIBA MKOBA
10 years ago
BBCSwahili03 Oct
Auwawa kwa 'kula' nyama ya ng'ombe india
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Auawa kwa kuchomwa moto
KADUCHU Tototo (40) mkazi wa Kijiji cha Rugasha, Kata ya Kibingo wilayani Kyerwa, ameuawa na kuchomwa moto na mafuta ya petroli baada ya kutuhumiwa kuvunja duka la Gerald Daud na...
10 years ago
CloudsFM13 Nov
MTUHUMIWA NAMBA 1 WA ‘WESTGATE’ KENYA AUWAWA KWA RISASI
Mtuhumiwa namba 1 wa kesi ya mashambulizi ya jengo la Westgate,Samantha Lewthwaite ameuawa kwa kupigwa risasi.
Taarifa zinasema mtuhumiwa huyo ambaye alikuwa akifahamika kama “White Widow” ameuawa Ukraine katika mapambano ambapo alikuwa akipambana upande wa kikosi cha wapiganaji wa Aidar.
Samantha amekuwa akituhumiwa kuhusika na matukio kadhaa ya mashambulizi ikiwemo la Westgate Kenya 2013, japo mengi ya matukio hayo haikuwahi kuthibitika juu ya ushiriki wake katika matukio hayo.
11 years ago
GPLMTOTO AUWAWA KWA KUFUNGWA PLASTA MDOMONI NA PUANI
11 years ago
Mwananchi13 Jun
Auawa kwa kuchomwa kisu na mumewe