Mbassa awapasha mawaziriÂ
MBUNGE wa Biharamulo Magharibi, Dk. Antony Mbassa (CHADEMA) amesema haridhishwi na majibu ya mawaziri ambayo ni ya ujumla pale wanapoulizwa maswali ya msingi. Mbali na hilo, ameihoji serikali ni lini...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Mbassa ataka matatizo ya afya yatatuliwe
MBUNGE wa Biharamulo Magharibi Dk.Antony Mbassa (CCM),ameitaka serikali ieleze ina mikakati gani wa kuboresha masilahi ya watumishi wa sekta ya afya ili kutatua matatizo yanayojitokeza. Mbassa pia alitaka serikali ieleze...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Monalisa awapasha wanaomzulia mabaya
MUIGIZAJI nyota wa filamu nchini, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ ambaye aliwahi kuwa mke wa marehemu George Tyson, aliyefariki dunia kwa ajali ya gari wiki kadhaa zilizopita, amefunguka kupitia mtandao wa Instagram...
10 years ago
Habarileo20 Jun
Makongoro awapasha WaNEC, wenyeviti mikoa
WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wenyeviti wa CCM mikoa, wametakiwa kuacha kufanya ubaguzi kama wanaouonesha kwenye utangazaji nia kwa wagombea kiti cha urais huku wakijiona wao ni kila kitu sababu ya kuwakilisha kwenye Mkutano Mkuu.
9 years ago
BBCSwahili24 Dec
Louis van Gaal awapasha waandishi.
11 years ago
Mwananchi07 Aug
John Cheyo awapasha wajumbe Bunge la Katiba
10 years ago
Bongo Movies28 Dec
Rose Ndauka Awapasha Wanaofuatilia Maisha Yake...Kisa Namkasa? Picha Hizi!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu za hapa bongo, Rose Ndauka ambae ni mama wa mtoto mmoja amewatolea uvivu baadhi ya watu ambao ni “followers” wake kwenye mtandao wa Instagram ambao walimshambulia sana kwa maneno baada ya yeye kuweka picha hiyo hapo juu akiwa amekaa na “jamaa” huku amemfunika uso.
Chokochoko
Baadhi ya watu hao walichukulia kwamba huyu jamaa pichani ndio “PROJECT” mpya ya Rose hivyo wakaanza kumshabulia mwananadada Rose kwa maneno kuwa hajatulia na ndiomana aliachika kwa bwana,...
10 years ago
Bongo Movies12 May
Nisha Awapasha Watayarishaji wa filamu na Mastaa wa Bongo Movies, Yeye Aonyesha Njia
Hili naomba niwaulize ma- producers, mastaaa wengine,na mashabiki wote.. hivi mnajua kuna vipaji sana nje ya wanaojiita mastaa ila bado hawajapata nafasi??
Hivi ni kubaniwa ama nini hadi wengine hawaonekani? Kama sisi tungebaniwa tungetoka? Hebu tuacheni maringo na kusaidia wenye uhitaji .
Mnayemuona juu hapo (Pichani) anaitwa Jenifer Temu picha tu jinsi alivyovaa uhusika inajieleza ni kwa jinsi gani amevaa uhusika kwenye filamu ya Mtaa kwa Mtaa, si huyo tu wapo wengi katika wale 50...