Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbatia ashinda tena NCCR, mizengwe yatawala mkutano

Uchaguzi Mkuu wa nane wa Chama cha NCCR-Mageuzi, umemchagua tena James Mbatia kuwa mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi kingine cha miaka mitano ijayo huku mizengwe ikitawala katika uchaguzi huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mbatia, Ruhuza kuwania tena uongozi NCCR-Mageuzi

>Chama cha NCCR-Mageuzi kitafanya Uchaguzi Mkuu wake Januari 18 mwaka huu, huku Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia na  Katibu Mkuu wake, Samwel Ruhuza wakijitosa.

 

11 years ago

Mwananchi

Mizengwe yamng’oa Katibu Ruhuza NCCR

Mpango uliosukwa na baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi kumng’oa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Samwel Ruhuza umetimia baada ya Ruhuza kujitoa dakika za mwisho katika uchaguzi wa nafasi ya Katibu Mkuu, huku akieleza kuwa hakuwa tayari kugombea nafasi hiyo na aliyeibuka mshindi ni Mosena Nyambabe.

 

11 years ago

Habarileo

Mbatia kuchuana na Makofila uenyekiti NCCR

MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia atachuana vikali na Charles Makofila kuwania uenyekiti wa taifa katika uchaguzi utakaofanyika wiki ijayo. Uchaguzi huo utafanyika kwenye mkutano mkuu wa Januari 18, mwaka huu, jijini Dar es Salaam ukishirikisha wajumbe 289.

 

10 years ago

Habarileo

Mbatia: NCCR-Mageuzi haitajiondoa Ukawa

Mwenyekiti wa NCCR - Mageuzi, James Mbatia.CHAMA cha NCCR - Mageuzi kimesema hakitajitoa katika kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa vile lengo lake si mgawanyo wa madaraka bali Katiba.

 

11 years ago

Habarileo

Mbatia ahofia udini, ukabila NCCR-Mageuzi

MWENYEKITI wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ameonya juu ya `virusi’ vya udini, ukabila na ukanda vilivyoanza kukinyemelea chama hicho na kutaka wanachama kuepuka dhambi hiyo. Aidha, ameonya kuwa chama hicho ni sehemu ndogo tu ya nchi, hivyo ni hatari kuanza kukumbatia mambo hayo.

 

9 years ago

GPL

MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI AMJIBU MBATIA

Kamishna wa NCCR-Mageuzi wa Mkoa wa Ruvuma, Mchatta Eric Mchatta (kushoto) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR-Mageuzi, Leticia Ghatti Mosore, na mwakilishi wa NCCR-Mageuzi, Hamlyn Erasto. Leticia Mosore (katikati) akisoma taarifa yake.…

 

10 years ago

Michuzi

MBATIA AWANADI WAGOMBEA WA CHAMA NCCR-MAGEUZI KATIKA JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akimtambulisha mwenyekiti wa kitongoji cha Pangara ,Humphrey Machange aliyepita bila kupingwa katika kitongoji hicho kwa tiketi ya chama cha NCCR-Mageuzi.Mh Mbatia akimnadi mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji cha Maring'a.Wagombea wa nafasi ya Wajumbe wa Halmashauri wakiwa na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi wakati wa mkutano wa kuwanadi wagombea wa chama hicho uliofanyika katika kijiji cha Maring'a.Wananchi katika Jimbo la Vunjo wakiwa...

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI, JAMES MBATIA AKARIBISHWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akipungia wananchi wakati msafara wa pikipiki na magari ukipita katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Vunjo. Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akifurahia jambo akiwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa NCCR,Hemed Msabaha,(kulia)…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani