Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mizengwe yamng’oa Katibu Ruhuza NCCR

Mpango uliosukwa na baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi kumng’oa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Samwel Ruhuza umetimia baada ya Ruhuza kujitoa dakika za mwisho katika uchaguzi wa nafasi ya Katibu Mkuu, huku akieleza kuwa hakuwa tayari kugombea nafasi hiyo na aliyeibuka mshindi ni Mosena Nyambabe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

NCCR-Mageuzi yakanusha kumshinikiza Ruhuza kujiengua

CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimeelezea kusikitishwa na uzushi kuwa, kilimshinikiza Katibu Mkuu aliyemaliza muda wake, Samwel Ruhuza kujitoa kutetea kiti hicho katika dakika za mwisho siku ya uchaguzi mkuu wa chama hicho mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbatia, Ruhuza kuwania tena uongozi NCCR-Mageuzi

>Chama cha NCCR-Mageuzi kitafanya Uchaguzi Mkuu wake Januari 18 mwaka huu, huku Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia na  Katibu Mkuu wake, Samwel Ruhuza wakijitosa.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbatia ashinda tena NCCR, mizengwe yatawala mkutano

Uchaguzi Mkuu wa nane wa Chama cha NCCR-Mageuzi, umemchagua tena James Mbatia kuwa mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi kingine cha miaka mitano ijayo huku mizengwe ikitawala katika uchaguzi huo.

 

11 years ago

Habarileo

NCCR-Mageuzi yapata Katibu Mkuu mpya

ALIYEKUWA Katibu Mkuu taifa wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Samuel Ruhuza amejitoa katika kinyang’anyiro cha kutetea nafasi yake hiyo. Hali hiyo imempatia ushindi wa kishindo, Mosena Nyambabe, ambaye alishinda kwa kura 57 kati ya kura 71 kwenye uchaguzi wa chama hicho.

 

9 years ago

Mwananchi

Katibu Mkuu aisikitikia NCCR, asema historia itawahukumu

Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Mosena Nyambabe amesema kuwa alitabiri kwamba historia itawahukumu na ndicho kilichotokea.

 

9 years ago

Vijimambo

ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI ASEMA TARARIBU ZA KUNING'OA NAFASI YANGU ZILIKIUKWA NA NCCR -MAGEUZI


Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,Letcia Mosore (katikati)akizungumza na waandishi wa (habari hawapo pichani)  juu  ya ukiukaji wa katiba ya chama hicho kumvua madaraka iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwakilishi NCCR-Mageuzi ,Hamlyn Erasto,Kushoto ni Kamishina Mkoa wa Ruvuma,Mchatta Mchatta.Baadhi ya waandishi wakiwa katika mkutano huo.

Na Chalila Kibuda

AALIYEKUWA  Makamu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Letcia Mosore amesema kuwa taratibu za kumvua nafasi...

 

10 years ago

Vijimambo

Escrow yamng`oa Werema

  Kikwete amkubali kujiuzuluMwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, amejiuzulu.Jaji Werema amelazimika kujiuzulu kufuatia shinikizo kubwa kutoka kwa makundi kadhaa ya jamii na ushauri wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Rais Jakaya Kikwete, kutaka amfute kazi kutokana na kuhusishwa kwake na kashfa ya wizi wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Jaji Werema alijiuzulu jana kupitia barua yake aliyomwandikia Rais...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam yamng’oa Domayo Yanga

Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC wamepeleka pigo lingine kwa Yanga baada ya jana jioni kukamilisha rasmi usajili wa kiungo mkabaji Frank Domayo.

 

11 years ago

Mwananchi

Ripoti ya CAG yamng’oa meya

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemtaka Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk Anatory Amani kuachia ngazi baada ya Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kubaini ubadhilifu katika miradi ya halmashauri hiyo na ukiukwaji wa taratibu za kusaini mikataba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani