Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbene aahidi makubwa kwa ushindi mnono

DSC_2577

Na Mwandishi wetu

MBUNGE mteule katika Jimbo la Ileje mkoani Songwe ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mbene (CCM) amewashukuru wananchi wa jimbo hilo kwa kumpa kura za kishindo, madiwani na  Dkt. Jonh Magufuli anayewania urais.

Akizungumza na wakazi wa Ileje, Mbene alisema ushindi wa kura 27,583 aliopewa na wana Ileje dhidi ya Emmanuel Mbuba wa NCCR Mageuzi aliyepata kura 14,578 atahakikisha anawapa wananchi hao kupitia ushirikiano, usimamizi na utatuzi wa changamoto...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UK DIASPORA YAMPONGEZA RAIS MTEULE< WABUNGE NA MADIWANI WA CCM KWA USHINDI MNONO


CHAMA CHA MAPINDUZI NCHINI UINGEREZA, WALES NA SCOTLAND "CCM UK DIASPORA" TUNATOA HONGERA NA PONGEZI KWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KWA KUCHAGULIWA KWAKE KUWA RAIS WA TANO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA BI, SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
PIA WABUNGE, MADIWANI NA WANACCM NA WASIO WANACCM WALIOFANIKISHA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUFANIKISHA USHINDI ULIOPATIKANA. UMOJA NI USHINDI, SASA ‪#‎HAPA‬ KAZI TU!

TUNAKUAHIDI USHIRIKIANO WA HALI YA JUU...

 

11 years ago

Mwananchi

Kiiza aahidi makubwa Yanga

>Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza amejiapiza kuwa atahakikisha mwaka 2014 anavaa medali nyingi kadri inavyowezekana akiwa na kikosi cha timu hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli aahidi makubwa Moshi

MGOMBEA urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, jana aliuteka mji wa Moshi mkoa wa Kilimanjaro, baada ya kuvuta umati mkubwa wa watu aliowakuna kwa hotuba yake iliyosheheni ahadi nzito, zikiwamo za kuondoa kero zinazowakabili na pia kuahidi kupaisha uchumi wa mkoa kwa ujumla.

 

10 years ago

Mwananchi

Mgambia aahidi makubwa Simba

Kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Omary Mboom amesema kuwa hatofanya makosa iwapo atasajiliwa na badala yake atahakikisha anawapa raha wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kongwe nchini.

 

9 years ago

Habarileo

Samia aahidi makubwa wa bodaboda

MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kuanzisha madawati maalumu katika Manispaa za Dar es Salaam kwa ajili ya kusajili madereva wa bodaboda na bajaji, iwapo chama chake kitachaguliwa katika uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu.

 

10 years ago

Mtanzania

CAG mpya aahidi makubwa

Profesa Mussa Juma Assad

Profesa Mussa Juma Assad

NA KULWA KAREDIA, DAR ES SALAAM

RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, imesema uteuzi wa Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu.

Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Profesa Assad alisema hatamwangusha Rais Kikwete na Watanzania kutokana na imani iliyoonyeshwa kwake.

“Sitamwangusha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Alfred Elia aahidi makubwa Simba

MGOMBEA ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Alfred Elia, amewaomba wanachama wa klabu hiyo kumchagua ili aweze kuleta maendeleo hasa kupitia jina na nembo ya klabu hiyo. Elia ni...

 

11 years ago

GPL

Mbelgiji aahidi kufanya makubwa Yanga

Kocha wa zamani wa AFC Leopards, Luc Eymael. Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa zamani wa AFC Leopards, Luc Eymael, amesema kuwa mazungumzo yake na Yanga bado yanaendelea na anaamini kuwa akipata timu hiyo ataifanyia makubwa.
Eymael aliomba kuifudisha Yanga ambayo hivi karibuni ilimtimua aliyekuwa kocha wake mkuu…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani