Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbeya City wapiga hela, Simba migogoro

>Wakati Mbeya City wakisaini mkataba wa udhamini wa miaka miwili wenye thamani ya Sh360 milioni na kampuni ya Bin Slum Tyre Co. Ltd, wanachama wa Simba wametishia kumshtaki Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kwa madai ya kutaka kumpendelea mgombea urais wa klabu hiyo, Michael Wambura.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea

Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi  kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...

 

10 years ago

TheCitizen

Mbeya City go into Simba’s den

Simba SC face another test today when they welcome struggling Mbeya City for a Vodacom Premier League match at the National Stadium.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba, Mbeya City vitani

Mbeya City wataishusha Yanga katika nafasi ya pili kama wataibuka na ushindi leo dhidi ya Ashanti United kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam, huku Simba wakiwa na kibarua kizito mbele ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Kaitaba.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba kuibomoa Mbeya City

Dar es Salaam. Simba imepanga kuibomoa Mbeya City baada ya kuanza harakati za kuwawania winga Deus Kaseke, beki Kenny Ally na mshambuliaji Paul Nonga wa timu hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbeya City kuishtaki Simba

>Wakati Simba ikibainika kumsajili kinyemela  Saad Kipanga, Mbeya City imedai suala la mshambuliaji huyo litawafanya “kufikishana pabaya”.

 

10 years ago

TheCitizen

Yanga, Simba raid Mbeya City

Dar es Salaam. Mainland champions Young Africans have reinforced their squad ahead of next season’s Premier League and Africa Champions League with two more players.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbeya City sasa yaipania Simba

Timu ya Mbeya City imesahau yaliyopita ya kufungwa na Yanga mabao 3-1 na sasa nguvu na akili zao zipo kwenye mechi yao ya kesho dhidi ya Simba.

 

10 years ago

GPL

SIMBA YACHAPWA NA MBEYA CITY TAIFA

Simba SC wakimenyana na Mbeya City katika Uwanja wa Taifa jijini Dar. (Picha na Maktaba Yetu)
SIMBA SC imeendelea kupoteza michezo yake hasa ya nyumbani baada ya leo kukubali tena kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City. Mechi hiyo ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) imepigwa muda mfupi uliopita katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba hivi karibuni ilipoteza mechi yake ya nyumbani baada ya kupigwa na Kagera Sugar kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani