Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBEYA WAANZA KUNEEMEKA NA MPANGO WA MAENDELEO WA MIAKA MITANO

 Meneja uwanja wa ndege wa Songwe jijini Mbeya, Eng. Valentino Kadeha (Kulia) akitoa maelekezo kwa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipotembelea Mradi huo. Kwa Mujibu wa Mhandisi Kadeha Uwanja huo umeshakamilika kwa aslimia 70 na utakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria zaidi ya 300 kwa saa.

 Aliyekuwa Mkurugenzi wa wa hospitali ya rufaa Mbeya Dr  Sankey (Wapili Kulia) akieleza changamoto zinazozikabili Hospitali hiyo kwa Timu ya Ukaguzi wa Miradi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MTEMVU TUCHAGUENI TUMALIZIE MIRADI YA MAENDELEO YA MIAKA MITANO TULIYOPANGA

 Mgombea ubunge wa Jimbo la Temeke kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu (kulia), akipongezana na mgombea udiwani wa Kata ya Keko, Francis Mtawa baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa kampeni viwanja vya Mabembeani Keko jijini Dar es Salaam jana jioni Mgombea ubunge wa Jimbo la Temeke kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu, akihutubia katika mkutano huo wa kampeni. Kulia ni mgombea udiwani wa Kata ya Keko, Francis Mtawa.
 Katibu Mwenezi wa Jimbo la Temeke, Ali Kamtande...

 

10 years ago

Michuzi

warsha ya siku moja kujadili mpango mkakati wa Maendeleo wa miaka 25 ya benki ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania yafanyika jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Thomas Samkyi akizungumza katika warsha juu ya kujadili mpango wa maendeleo wa taasisi hiyo kwa miaka 25 ijayo. Warsha hiyo ilifanyika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, Dar es Salaam.Mkuu wa Mipango, Sera na Ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Francis Assenga akizungumza na wadau katika mkutano huo.Wadau wa sekta ya kilimo, uvuvi na ufugaji wakifuatilia warsha ya mpango wa maendeleo wa miaka 25 wa benki...

 

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU: Miaka 54 mmeshindwa, miaka mitano mtaweza?

Kwanza kabisa napenda niwaombe radhi wasomaji wangu wa safu  hii ya   ‘Ukweli Utakuweka huru’ kwa kuzikosa  mada zangu kwa takriban  mwezi mmoja. Hali hii ilitokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu.

 

5 years ago

Michuzi

DKT. MPANGO AWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA

 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango akiwasilisha mapendekezo ya serikali ya mpango wa maendeleo wa Taifa na ya kiwango na ukomo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2020/21.
 Waziri Mkuu Mhe Kassism Majaliwa akiongoza kikao cha uwasilishaji wa taarifa ya mapendekezo ya serikali ya mpango wa maendeleo wa Taifa na ya kiwango na ukomo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2020/21.
Mbunge wa Jimbo la Mtama (CCM) Mhe Nape Nnauye akifuatilia uwasilishaji wa mapendekezo ya serikali ya mpango wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MBEYA YAZINDUA MPANGO WA MAREKEBISHO YA TABIA NA MPANGO WA UTOAJI MSAADA WA SHERIA

Kamishna Msaidizi Haki za Mtoto na marekebisho ya Tabia nchini, Rubikira Mushi, akizindua Mpango wa Marekebisho ya tabia na mpango wa utoaji msaada wa sheria kwa watoto wanaokinzana na Sheria. uliyofanyika katika ukumbi wa JM Motel iliyopo Forest Jijini MbeyaMwakilishi wa UNICEF katika uzinduzi huo, Mbelwa Gabagumbi, alisema mfumo wa ulinzi na usalama wa mtoto ni wajibu wa Serikali na kila mwananchi hivyo ni vema kuheshimu mkataba wa kimataifa ambao Tanzania iliridhia wa haki za watoto wa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MPANGO:TAARIFA YA HALI YA UCHUMI 2019, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA MWAKA 2020/21 ZIMEZINGATIA DHANA YA USHIRIKISHWAJI MPANA WA WADAU


Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk.Philip Mpango amesema taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2020/21 zimezingatia dhana ya ushirikishwaji mpana wa wadau katika hatua za uandaaji na maamuzi katika ngazi zote Serikalini. 
Akizungumza Bungeni Mjini Dodoma leo wakati anawasilisha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2020/21 ambapo ametumia nafasi hiyo kufafanua yamezingatia...

 

10 years ago

Michuzi

MBEYA YETU BLOG WAANZA KUTEMBELEA NA KUTANGAZA VIVUTIO VYA KITALII MKOANI MBEYA , WAKIANZIA NA KIJUNGU

Baada ya kuona kuwa kuna maeneo mbalimbali ya vivutio vya kitalii muhimu na ambavyo vimesahaulika kwa njia moja au nyengine na pengine hakuna pa kuvitangaza ili watanzania na Dunia kwa ujumla wapate kuvifahamu kwa ukaribu , Tone Multimedia Group kupitia mtandao wake wa Mbeya yetu Blog wameamua kuanza rasmi kuvitembelea na kutangaza kwa Jamii kwa ujumla  wapate kuvifahamu ili nao waje kuvitembelea.
Safari hiyo ambayo moja kwa moja ilianzia Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Rungwe-Tukuyu kwenda kujionea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani