Mbeya wafanya vibaya mtihani daraza la saba kwa miaka minne mfululizo.
Na Amina Saidi,
Mbeya.
Mkoa wa Mbeya umeendelea kufanya vibaya katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi kwa miaka minne mfululizo ambapo mwaka huu imekuwa na ufaulu wa asilimia 47 chini ya Mpango wa Taifa wa Tekeleza kwa Matokeo Makubwa Sasa BRN.
Kutokana na ufaulu mbaya, mkoa huo umekuwa miongoni mwa mikoa tisa nchini iliyotakiwa kueleza sababu za msingi za ufaulu duni pamoja na kuweka mikakati ya kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wake.
Mikoa mingine iliyoingia katika janga...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi27 Sep
Mtihani kwa Mbeya City, African Sports
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Aishi kwenye handaki kwa miaka minne
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Ujangili wapoteza asilimia 67 ya tembo kwa miaka minne
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Mchungaji jela miaka minne kwa kuuza watu nje
9 years ago
StarTV27 Nov
Serikali yatoa siku saba kwa Wafanya biashara Kuhamia Soko La Mwanjelwa
Serikali imetoa muda wa siku saba kwa Wafanyabiashara waliokuwa wapangaji wa Soko la Mwanjelwa jijini Mbeya wakati soko hilo linaungua moto mwaka 2006 kuomba upya nafasi za kufanya biashara kwenye eneo hilo baada ya kukamilika kwa ujenzi wake.
Serikali imetoa agizo hilo kutokana na kusuasua kwa Wafanyabiashara hao kuomba nafasi hizo licha ya kupewa kipaumbele cha kwanza kati ya wananchi wote wanaohitaji maeneo ya kufanyia biashara katika soko hilo.
Soko la Mwanjelwa jijini Mbeya limeungua...
11 years ago
CloudsFM02 Jun
MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI KWA MIAKA MINNE KUZIKWA KWA HESHIMA ZOTE,KUAGWA KATIKA UWANJA WA JAMHURI,MOROGORO
Msiba wa mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa kwa kufungiwa katika boksi kwa miaka minne, ambako ndiko alikokuwa akipewa chakula, kwenda haja kubwa na ndogo na kulala, imeibua simanzi jijini Dar es Salaam, Morogoro na katika maeneo mbalimbali nchini.
Jana taarifa za kufariki kwa Nasra aliyekuwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zilisambaa katika maeneo mbalimbali nchini na baadaye kuthibitishwa na Msemaji wa hospitali hiyo, Aminiel Aligaeshi.
Mwishoni...
11 years ago
Dewji Blog22 May
Mbunge na Diwani Chadema wakwamisha maendeleo jimboni kwa miaka minne
![13](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/135.jpg)
Ujenzi wa Shule ya Msingi Unyaghumpi ukiendelea katika Jimbo la Singida Mashariki la Mbunge Tundu Lissu,ambaye anadaiwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha za kujengea vyumba vya madarasa katika shule hiyo.
Mmoja wa Viongozi wa CCM, Wilaya akimpatia tofari Kinana walipokuwa wakisaidia ujenzi wa Shule ya Msingi Unyaghumpi, katika Jimbo la Singida Mashariki la Mbunge Tundu Lissu. Mbunge huyo anadaiwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha za kujengea vyumba vya madarasa katika shule hiyo....
11 years ago
Michuzi24 May
9 years ago
Habarileo05 Nov
800 wafanya mtihani kidato cha 4
WANAFUNZI 831 wa shule za sekondari Mjini Lindi mkoani humo, wanafanya mtihani wa kumaliza kidato cha nne mwaka huu. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Jumaary Satura aliyasema hayo jana wakati alipokuwa akizungumza na HabariLeo mjini hapa.