Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yatoa siku saba kwa Wafanya biashara Kuhamia Soko La Mwanjelwa

Serikali imetoa muda wa siku saba kwa Wafanyabiashara waliokuwa wapangaji wa Soko la Mwanjelwa jijini Mbeya wakati soko hilo linaungua moto mwaka 2006 kuomba upya nafasi za kufanya biashara kwenye eneo hilo baada ya kukamilika kwa ujenzi wake.

Serikali imetoa agizo hilo kutokana na kusuasua kwa Wafanyabiashara hao kuomba nafasi hizo licha ya kupewa kipaumbele cha kwanza kati ya wananchi wote wanaohitaji maeneo ya kufanyia biashara katika soko hilo.

 Soko la Mwanjelwa jijini Mbeya limeungua...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MOTO UKITEKETEZA SOKO LA WAFANYA BIASHARA WADOGO ARUSHA

Moto mkubwa uliozuka katika soko maarufu la wafanyabiashara wadogo wadogo jijini Arusha umeteketeza nusu ya mali katika enao hilo ikwemo vibanda vya nguo na vitu ambapo mapaka sasa thamani ya mali hizo haijajulikana huku taaridfa za awali zikielezwa kuwa chanzo cha moto huo ni hitilafu ya umeme

 Gari ya zimamoto likiwa katika eneo la tukio



Baadi ya wananchi wakishuhudiwa na kujaribui kuokoa baadhi ya mali  

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AKUTANA NA WAFANYA BIASHARA WA SOKO KUU SENGEREMA MJINI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wafanyabishara wa Soko Kuu Sengerema mjini.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia miundo mbinu ya maji taka inayolalamikiwa na wafanyabiashara wa soko kuu la Sengerema.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia baadhi ya miundo mbinu ya maji taka katika soko kuu la Sengerema mjini.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wafanyabiashara na vijana wa stendi ya...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yatoa siku 14 kwa mgodi wa Buckreef kuanza uzalishaji

Na Teresia Mhagama, Geita
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani ametoa siku 14 kwa mgodi wa dhahabu wa Buckreef kuanza uzalishaji ama sivyo wataandikiwa hati ya makosa na Afisa Madini Mkazi katika mkoa wa Geita. Naibu Waziri alitoa agizo hilo baada ya kufika katika mgodi huo uliopo katika kata ya Lwamgasa mkoani Geita na kuona hakuna shughuli zozote za uzalishaji zinazoendelea.
“Najua kuwa hamjazalisha dhahabu mpaka sasa, lakini lazima mzalishe ili kulipa kodi na mrabaha,...

 

10 years ago

Mwananchi

UTT kusimamia Soko la Kimataifa la Mwanjelwa

>Wakati ufunguzi wa Soko la Kimataifa la Mwanjelwa ukisubiri kujengwa wigo wa soko hilo, Kampuni ya Uwekezaji Kwenye Miradi (UTT-PI)  ndiyo itakayosimamia uendeshaji wa soko wake kimataifa.

 

9 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara: Soko la Mwanjelwa mali yetu

Wafanyabiashara waliokuwa kwenye Soko la Mwanjelwa kabla ya kuteketea miaka minane iliyopita wamedai kuwa soko lililojengwa upya ni mali yao.

 

11 years ago

GPL

NAPE AJICHANGANYA NA WANANCHI SOKO LA MWANJELWA MBEYA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akila chakula cha mchana kwenye kibanda cha Mama Lishe anayefahamika kama Bi. Tandiwa Tewete kwenye soko la Sido Mwanjelwa mjini Mbeya.    Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akikatiza katikati ya soko la Sido Mwanjelwa kwenda kwenye…

 

11 years ago

Mwananchi

Ujenzi wa Soko la Mwanjelwa Mbeya kuendelea tena

Ujenzi wa Soko la Mwanjelwa la jijini hapa ambao ulisimama kwa karibu mwaka mzima unatarajiwa kuendelea tena mapema mwezi ujao kama jiji litafanikiwa kupata mkopo mwingine kutoka Benki ya CRDB.

 

10 years ago

Michuzi

SOKO LA MWANJELWA JIJINI MBEYA LATARAJIWA KUFUNGULIWA MEI 2015

Mkandarasi wa soko kuu la Mwanjelwa linaloendelea kujengwa jijini mbeya ndugu,Balwinder Singh kutoka katika kampuni ya (NECCO) amezungumza na Ripota wetu juu ya maendeleo ya soko hilo kubwa lenye zaidi ya maduka 400 ya biashara ndogondogo,Benki mbili na kituo kikubwa cha polisi ambapo amesema soko hilo anatarajia kulikabidhii mwakani (2015) mwezi wa tano.
Akiendelea kuzumza,Mkandarasi huyo amesema kuwa hali ya Ujenzi inaendelea vyema na wapo kwenye hatua za mwisho,hivyo hadi mwezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani