Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOTO UKITEKETEZA SOKO LA WAFANYA BIASHARA WADOGO ARUSHA

Moto mkubwa uliozuka katika soko maarufu la wafanyabiashara wadogo wadogo jijini Arusha umeteketeza nusu ya mali katika enao hilo ikwemo vibanda vya nguo na vitu ambapo mapaka sasa thamani ya mali hizo haijajulikana huku taaridfa za awali zikielezwa kuwa chanzo cha moto huo ni hitilafu ya umeme

 Gari ya zimamoto likiwa katika eneo la tukio



Baadi ya wananchi wakishuhudiwa na kujaribui kuokoa baadhi ya mali  

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KINANA AKUTANA NA WAFANYA BIASHARA WA SOKO KUU SENGEREMA MJINI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wafanyabishara wa Soko Kuu Sengerema mjini.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia miundo mbinu ya maji taka inayolalamikiwa na wafanyabiashara wa soko kuu la Sengerema.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia baadhi ya miundo mbinu ya maji taka katika soko kuu la Sengerema mjini.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wafanyabiashara na vijana wa stendi ya...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yatoa siku saba kwa Wafanya biashara Kuhamia Soko La Mwanjelwa

Serikali imetoa muda wa siku saba kwa Wafanyabiashara waliokuwa wapangaji wa Soko la Mwanjelwa jijini Mbeya wakati soko hilo linaungua moto mwaka 2006 kuomba upya nafasi za kufanya biashara kwenye eneo hilo baada ya kukamilika kwa ujenzi wake.

Serikali imetoa agizo hilo kutokana na kusuasua kwa Wafanyabiashara hao kuomba nafasi hizo licha ya kupewa kipaumbele cha kwanza kati ya wananchi wote wanaohitaji maeneo ya kufanyia biashara katika soko hilo.

 Soko la Mwanjelwa jijini Mbeya limeungua...

 

10 years ago

Vijimambo

MOTO WATEKETEZA SOKO LA BIDHAA ZA UTAMADUNI JIJINI ARUSHA

Baadhi ya Mabaki ya bidhaa zilizoteketea kwa moto katika SOKO la bidhaa za utamaduni lijulikanalo kwa jina la MT.MERU CURIOS& CRAFTS MARKET usiku wa kuamkia leo. Bango la Soko hilo.kwa picha zaidi bofya soma zaidiSehemu ya Wafanyabiashara wa SOKO la bidhaa za utamaduni lijulikanalo kwa jina la MT.MERU CURIOS & CRAFTS MARKET wakiwa wameduwaa bila kujua la kufanya mara baada ya Soko hilo kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo na kuunguza bidhaa zote za wafanya biashara zililopo katika soko...

 

10 years ago

Michuzi

MOTO WATETEZA SOKO LA BIDHAA ZA UTAMADUNI LIJULIKANALO KAMA MT.MERU CURIOS & CRAFTS MARKET JIJINI ARUSHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo ameagiza uchunguzi wa kina kufanyika kufuatia soko la wafanyabiashara wa Vinyago na bidhaa mbalimbali za kitalii la Maasai Market kuteketea kwa moto.


Mulongo ambaye alifatana na kamati ya Ulinzi na Usalama alishangaa kuona maduka hayo ambayo yapo jirani na Kikosi cha Zima Moto kushindwa kuzima moto na kusababisha hasara kwa wananchi.


"Sitakubali kuona uzembe unaendelea katika mkoa wetu,lazima watu wawajibishwe kwa uzembe hasa Kikosi cha kuzima moto...

 

9 years ago

Dewji Blog

TPHA wafanya kongamano la kupinga matumizi ya bidhaa za Tumbaku kwa vijana wadogo

Mratibu wa Mradi wa Madhara ya Tumbaku (TPHA) Dk. Bertha T.A. Maegga akizungumza wakati akifungua kongamano hilo lililo washirikisha wadau mbalimbali kwa kutoa muhutasari wa Madhara ya Tumbaku. (Picha na Geofrey Adroph).

Na Andrew Chale, modewjiblog

[Dar es Salaam] Chama cha Afya ya Jamii nchini (TPHA), kimeendesha kongamano maalum kwa wanafunzi wa shule  msingi zaidi ya Saba ndani ya Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la kutoa elimu ya madhara yatokanayo na  utumiaji wa bidhaa za Tumbaku...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU MADAI YA WAKULIMA WADOGO WA MIWA WA KILOMBERO KUKOSA SOKO

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bibi Sophia Kaduma ameiagiza Bodi ya Sukari Tanzania, kushughulikia mara moja madai ya wakulima wadogo wa  miwa (outgrowers) katika Kiwanda cha Sukari cha Kilombero kilichopo Mkoani Morogoro  yaliotokana na miwa yao kutonunuliwa na kiwanda. 
Katika agizo hilo, Katibu Mkuu Bibi Sophia Kaduma ameiagiza Bodi ya Sukari Tanzania kukuta  na Uongozi wa Kiwanda  cha Sukari cha Kilombero na  ule wa wakulima wadogo wa miwa  ili kupata ufumbuzi wa kudumu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MWANAHAMISI LIMAMU : Nasomesha wadogo zangu kwa biashara ya saluni

DHANA ya ujasiriamali inamuwezesha mtu kujishughulisha na kuthubutu kufanya biashara ili kujiingizia kipato cha kila siku na kuendesha maisha yake ili mradi tu uwe na ubunifu. Kutokana na ubunifu huo,...

 

9 years ago

StarTV

Wafanya biashara watakiwa kuanzisha Viwanda endelevu.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania Johnson Minja amesema nchi itakuwa na viwanda endelevu iwapo vitaanzishwa na wafanyabiashara wenyewe kwa kuwa viwanda vingi vilivyojengwa na Serikali vimekufa.

Amesema ni rahisi kwa wafanyabiashara kuendesha viwanda na kuhakikisha vinazalisha faida kwa kuwa watakuwa na uchungu navyo vitakapopata hasara.

Akizungumza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini Johnson Minja amesema kwa kuliona hilo na fursa za kibiashara zilizopo kutokana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani