Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAPE AJICHANGANYA NA WANANCHI SOKO LA MWANJELWA MBEYA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akila chakula cha mchana kwenye kibanda cha Mama Lishe anayefahamika kama Bi. Tandiwa Tewete kwenye soko la Sido Mwanjelwa mjini Mbeya.    Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akikatiza katikati ya soko la Sido Mwanjelwa kwenda kwenye…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ujenzi wa Soko la Mwanjelwa Mbeya kuendelea tena

Ujenzi wa Soko la Mwanjelwa la jijini hapa ambao ulisimama kwa karibu mwaka mzima unatarajiwa kuendelea tena mapema mwezi ujao kama jiji litafanikiwa kupata mkopo mwingine kutoka Benki ya CRDB.

 

10 years ago

Michuzi

SOKO LA MWANJELWA JIJINI MBEYA LATARAJIWA KUFUNGULIWA MEI 2015

Mkandarasi wa soko kuu la Mwanjelwa linaloendelea kujengwa jijini mbeya ndugu,Balwinder Singh kutoka katika kampuni ya (NECCO) amezungumza na Ripota wetu juu ya maendeleo ya soko hilo kubwa lenye zaidi ya maduka 400 ya biashara ndogondogo,Benki mbili na kituo kikubwa cha polisi ambapo amesema soko hilo anatarajia kulikabidhii mwakani (2015) mwezi wa tano.
Akiendelea kuzumza,Mkandarasi huyo amesema kuwa hali ya Ujenzi inaendelea vyema na wapo kwenye hatua za mwisho,hivyo hadi mwezi...

 

9 years ago

Michuzi

JIJI LA MBEYA LAJIPANGA KUKUSANYA KODI KATIKA MRADI WA SOKO JIPYA LA MWANJELWA

Kaimu Mkurugenzi jiji la Mbeya Dkt,Samuel Razalo.
 Na EmanuelMadafa, MbeyaHALMASHAURI ya Jiji la Mbeya, imesema imejipanga vyema katika  kuhakikisha  mradi mkubwa wa soko jipya la mwanjelwa unasimamiwa kikamilifu kwa kufuata  taratibu za serikali sanjali na mikataba  iliyoingia na benki ya CRDB  kwa kipindi cha miaka 15.
Mradi  huo wa soko la kimataifa la Mwanjelwa lililopo jijini Mbeya  ujenzi wake imefikia  asilimia 99 hivyo upo katika hatua za mwisho za kukamilika kwake.
Akizungumza  ofisini...

 

9 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara: Soko la Mwanjelwa mali yetu

Wafanyabiashara waliokuwa kwenye Soko la Mwanjelwa kabla ya kuteketea miaka minane iliyopita wamedai kuwa soko lililojengwa upya ni mali yao.

 

10 years ago

Mwananchi

UTT kusimamia Soko la Kimataifa la Mwanjelwa

>Wakati ufunguzi wa Soko la Kimataifa la Mwanjelwa ukisubiri kujengwa wigo wa soko hilo, Kampuni ya Uwekezaji Kwenye Miradi (UTT-PI)  ndiyo itakayosimamia uendeshaji wa soko wake kimataifa.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yatoa siku saba kwa Wafanya biashara Kuhamia Soko La Mwanjelwa

Serikali imetoa muda wa siku saba kwa Wafanyabiashara waliokuwa wapangaji wa Soko la Mwanjelwa jijini Mbeya wakati soko hilo linaungua moto mwaka 2006 kuomba upya nafasi za kufanya biashara kwenye eneo hilo baada ya kukamilika kwa ujenzi wake.

Serikali imetoa agizo hilo kutokana na kusuasua kwa Wafanyabiashara hao kuomba nafasi hizo licha ya kupewa kipaumbele cha kwanza kati ya wananchi wote wanaohitaji maeneo ya kufanyia biashara katika soko hilo.

 Soko la Mwanjelwa jijini Mbeya limeungua...

 

10 years ago

Michuzi

DR.MARY MWANJELWA USHINDI WA KISHINDO UBUNGE VITI MAALUM MKOWA WA MBEYA

Mgombea ubunge viti maalum mkoa wa mbeya Dr.Mary Mwanjelwa aibuka mshindi katika kura za maoni kutoka kwa wajumbe wa ccm mkoa wa mbeya na kupata ridhaa ya kulejea tena katika kiti  cha ubunge viti maalum mkoa wa Mbeya kwa ushindi wa kishindo wa asilimia 97 na kuwashinda wagombea kumi (10) kati ya kumi na moja (11) walio kuwa wakigombea na kutaka kuteuliwa na wajumbe wa ccm mkoa wa mbeya...Picha zote Na Fadhiri Atick, Mbeya.Mshindi wa ubunge viti maalum kupitia chama cha mapinduzi mkoa...

 

10 years ago

Michuzi

MH. MWANJELWA AMWAKILISHA VYEMA KATIBU MKUU WA CCM TAIFA, AWASILISHA MABATI 40 ALIYOAHIDI KATA YA NSALAGA MBEYA

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, (CCM),akikabidhi mabati 40, kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulhaman Kinana, ambaye aliahidi Desemba 4, 2013, alipotembelea Jijini Mbeya na kuona jitihada za wanachama wa CCM wa kata hiyo kujenga ofisi nzuri. Baadhi ya wananchi wakimpongeza na kumshukuru Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, (CCM),baada ya kufikisha salama mabati 40, ambayo Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulhaman Kinana, aliahidi Desemba 4,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani