Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbeya yageuzia kibao Bocco, Mudathir

Klabu ya Mbeya City imewasilisha taarifa ya rufaa kwenda Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikieleza upungufu mwingi na kutaka wachezaji wa Azam wachukuliwe hatua za kinidhamu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kocha Mbeya City aamini kitaeleweka kibao

KOCHA wa muda wa Mbeya City, Abdul Mingange, amesema kukosa wachezaji wenye uzoefu ndiyo sababu ya timu hiyo kufanya vibaya kwenye mechi zao za Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bocco atambia mafanikio Azam FC

NAHODHA wa Azam FC, John Rafael Bocco ‘Adebayor’ametambia rekodi na mafanikio ya kikosi chake, huku akiitaja namba 19 kuwa ni namba ya bahati katika maisha yake ya soka Azam Complex,...

 

9 years ago

Mtanzania

Bocco awatuliza mashabiki Azam

John-Bocco-1-e1438774780905ADAM MKWEPU NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, John Bocco amewatuliza mashabiki wa timu hiyo na kuwataka wasubiri ushindi wa kishindo watakapocheza na Majimaji keshokutwa katika Uwanja wa Majimaji, Songea.

Azam ilipata matokeo ya sare ya mabao 2-2 dhidi ya Simba Jumamosi iliyopita na kufikisha pointi 26 zilizoifanya ishuke hadi nafasi ya pili na kuwapa wapinzani wao Yanga nafasi ya kurudi kileleni kwa kujikusanyia pointi 27.

Akizungumza na MTANZANIA jana nyota huyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Bocco kuikosa Mtibwa Jumamosi

Daktari wa timu ya Azam, Mwanandi Mwakemwa amesema mshambuliaji John Bocco hataweza kucheza mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar Jumamosi ijayo kwenye Uwanja wa Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na mshipa wa mguu.

 

10 years ago

TheCitizen

Bocco stars as Azam stun KCC

Azam FC launched their 2015 Kagame Cup mission on a high note after edging Ugandan champions KCC 1-0 at the National Stadium yesterday.

 

9 years ago

Mwananchi

Maguli, Bocco waibeba Kili Stars

anzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ ikianza na wachezaji wanne waliocheza dhidi ya Algeria ilihamishia hasira zake kwa Somalia na kuichapa mabao 4-0 katika mchezo wa kwanza wa mashindano ya Kombe la Chalenji yanayoendelea nchini Ethiopia.

 

11 years ago

Mwananchi

Bocco atangaza vita Simba, City

Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco amewaambia wenzake kama wamedhamilia kutwaa ubingwa msimu huu ni lazima wahakikishe wanaishinda Simba Jumapili na Mbeya City.

 

11 years ago

Mtanzania

Bocco, Moris watemwa safari ya Burundi

Timu ya Taifa, Taifa Stars

Timu ya Taifa, Taifa Stars

NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM

KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kimeondoka leo alfajiri kuelekea mjini Bujumbura, kwa ajili ya kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyo katika Kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) dhidi ya Burundi, huku wachezaji sita wakitemwa katika safari hiyo.

Wachezaji hao waliotemwa katika msafara huo kwa ajili ya mechi itakayochezwa Jumapili mjini humo, ni John  Bocco, Aggrey Morris, Mwagane Yeya, Edward...

 

10 years ago

Mwananchi

Bocco apewa jezi kuiua Malawi

Ikiwa imetanguliza mguu mmoja ili kusonga mbele kwenye mechi za kufuzu kushiriki Kombe la Dunia 2018 nchini Russia, timu ya soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo itajitupa kwenye Uwanja wa Kamuzu Banda kupambana na wenyeji Malawi. Mchezo huo wa marudiano unaoanza saa 8.00 mchana za hapa (sawa na saa 9.00 za Afrika Mashariki) unatarajiwa mgumu na wa kusisimua.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani