Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBONGO MOVIE BUNGENI ANUSURIKA KIFO

Stori: Hamida Hassan
Mwakilishi wa wasanii katika Bunge Maalum la Katiba (BMK), Paul Mtenda juzikati alinusurika kifo baada ya gari lake kugongana uso kwa uso na lingine katika eneo la Dumila mkoani Morogoro wakati akirejea jijini Dar es Salaam kutoka Dodoma. Mwakilishi wa wasanii katika Bunge Maalum la Katiba (BMK), Paul Mtenda. “Namshukuru Mungu sikuumia kwa sababu nilikuwa nimefunga mkanda, lakini kile kilikuwa ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSUNGU ANUSURIKA KIFO


Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Stanley Msungu ‘Senetor’ amenusurika kifo baada ya kupata ajali na gari lake kuharibika vibaya. Msanii wa filamu Bongo, Stanley Msungu ‘Senetor’. Akipiga stori na gazeti hili, Msungu alisema anamshukuru Mungu kwani ungekuta sasa hivi ni maiti kwani ajali ilikuwa ni mbaya maeneo ya Bondeni, jijini Dar akielekea nyumbani kwake Tegeta ambapo gari lake...

 

10 years ago

GPL

MAMA ANUSURIKA KIFO

Sehemu ya gari ilipogongwa. Pembeni ni uzio wa magari uliowekwa na kamapuni ya Strabag. Umati wa watu wakiwa eneo la ajali  MAMA mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja, amenusurika kifo baada ya gari lake aina…

 

10 years ago

GPL

ANUSURIKA KIFO UBUNGO

Pikipiki iliyopata ajali ikiwa chini. Umati wa watu ukishuhudia ajali hiyo.
Daladala iliyojitolea kumsaidia…

 

11 years ago

Habarileo

Lowassa anusurika kifo

ABIRIA kadhaa akiwemo Waziri Mkuu wa zamani ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, wamenusurika kufa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika Uwanja wa Ndege wa Arusha uliopo eneo la Kisongo, jana mchana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe anusurika kifo ajalini

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka jijini Mwanza kwenda wilayani Ngara, Kagera kupata ajali. Ajali hiyo ilitokea jana...

 

11 years ago

GPL

9 years ago

Habarileo

Kijo-Bisimba anusurika kifo ajalini

MKURUGENZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Helen Kijo-Bisimba amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akitembelea kuacha njia na kupinduka jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

BBCSwahili

Al-Shabaab:Gavana anusurika kifo Kenya

Mwanasiasa mmoja wa Kenya amenusurika shambulizi lililotekelezwa na kundi la Al shabaab.

 

9 years ago

Mwananchi

Nape Nnauye anusurika kifo ajalini

Mgombea ubunge Jimbo la Mtama kupitia CCM, wilaya na mkoa wa Lindi, Nape Nnauye (38) amenusurika kifo, baada ya gari aliyokuwa akiendesha kuacha barabara na kupinduka, wilayani Kilwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani