MBONI SHOW YA EATV YAHAMIA TBC
Na Bakari Issa,Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mboni Show,Mboni Masimba ameamua kuhamishia kipindi cha Mboni show katika kituo cha utangazaji cha Taifa (TBC) kutoka EATV ili kuvutia watazamaji wengi na wapya kwa wazee pamoja na vijana.
Kipindi cha Mboni Show kitaanza kurushwa TBC kuanzia January 2 mwaka 2015 siku ya Ijumaa saa 3 Usiku-4Usiku na marudio Jumanne saa 9:00 mchana-10:00mchana.
Akizungumza na waandishi wa habari,mapema leo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTHE MBONI SHOW KUHAMIA TBC 1
10 years ago
Michuzi
THE MBONI SHOW KUANZA KUUNGURUMA JANUARY 2 NDANI YA TBC


10 years ago
Dewji Blog30 Dec
THE MBONI SHOW yaanza kuunguruma January 2 ndani ya TBC
Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba (wa pili ktoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam wakati akitangaza kuanza kwa msimu wa tatu wa kipindi chake ‘The Mboni Show’ kinachotarajia kuanza Jan 2, 2015. Kushoto ni kiti Simpompa na kuanzia kulia ni Afisa Masoko wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (PSPF) Magira Werema na Kaimu Mkurugenzi wa Masoko TBC,Bw.Fadhili Chilumba.

Kutoka Kulia Afisa Masoko wa Mfuko wa...
10 years ago
Vijimambo03 Oct
Flaviana Matata ndani ya The Mboni Show








11 years ago
Michuzi
THE MBONI SHOW NA KATI YA LONDON 2014

11 years ago
Michuzi