Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mboto Vs Masanja: Hii Sio Yakukosa Mwaka Huu!!!

Kama mwaka huu hauna mpango wa kuangalia filamu yoyote ya hapa bongo,basi nakushauri ndugu yangu hii ya Masanja Mkandamizaji akiwa na Mboto sio ya kuikosa.

 “Dairekita Lokesheni. #Hiki kitambi cha huyu kijana sijui amemeza nini mwanawane”-Masaja aliandika kuelezea picha hiyo hapo juu.

Jina a lini itakoka filamu hii bado hawijawekwa wazi, ila kwasasa ndio ina “shutiwa”  kwahiyo mdau ukae mkao wa kula!!!

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

RADO: Mwili tu huu jamani! Mi’ sio mgomvi

KATI ya wasanii ambao wanafanya vizuri na kukimbiza katika tasnia ya filamu nchini, Simon Mwapagata ‘Rado’, ni mmoja wao. Mkali huyu ambaye alianza kusota kwenye sanaa ya uimbaji, aligeukia filamu...

 

11 years ago

Dewji Blog

TANROADS Singida yatumia zaidi ya sh 5.1 B kutengeneza barabara zake Julai mwaka jana na februari mwaka huu

DSC07622

Mkuu wa mkoa wa Singida na mwenyekiti wa bodi ya barabara, Dk.Parseko Vicent Kone, akifungua kikao cha bodi ya barabara cha 36 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa VETA mjini Singida. Kulia (aliyekaa) ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan.

DSC07610

Meneja wa wakala wa barabara mkoa wa Singida (TANROADS), Mhandisi Yustaki Kangole, akitoa ufafanuzi juu ya sheria zinazotawala akiba/hifadhi  ya barabara kwenye kikao cha 36 cha bodi ya barabara mkoa wa Singida.

DSC07617

Mbunge wa jimbo la...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili wa kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar,kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili { Donor Conference } kwa ajili ya kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar unatarajiwa kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu hapa Zanzibar baada kukamilika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Mkutano huo utakofadhiliwa na Serikali ya Oman unatatarajiwa pia kujumuisha Wawekezaji wa sekta ya fedha na uchumi kutoka Mataifa na Taasisi tofauti Duniani . Mjumbe Maalum wa Serikali ya Oman Bwana Yahya Al – Ureim alieleza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Prof Mwandosya; Mwaka 2005 nilikuwa wa tatu mwaka huu ikulu zamu yangu, ataka wagombea wenzake wasiogope kuelezwa maovu

Waziri asiye na Wizara maalum Prof Mark Mwandosya akiwapungua mkono baadhi ya wahudumu wa uwanja wa Ndege wa Nduli Iringa wakati akiondoka mkoani Iringa kuelekea mkoani Tabora kutafuta  wadhamini kwa ndege hiyo ya kukodi. Waziri Prof Mwandosya  akitafakari jambo. Dereva  wa gari la Prof Mwandosya  Iringa akipata picha ya kumbukumbu na kuagana na rubani wa ndege aliyokodi Waziri huyo. Wadhamini wa Prof Mwandosya  wakiagana na waziri huyo. Waziri Prof. Mwandosya  na mkewe akishuka...

 

10 years ago

Vijimambo

Gwajima Asema Atakufa na Lowassa na Dr. Slaa, Asisitiza huu sio Muda wa Kuchaguliana Marafiki


Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alihubiri akiwa katika kiti cha magurudumu na kusema hawezi kuwatupa Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kwa kuwa ni marafiki zake wa siku nyingi.Pia askofu huyo, amewataka waumini wote wa kanisa hilo kufika katika Kituo Kikuu cha Polisi, Alhamisi ijayo siku ambayo atakwenda kukamilisha mahojiano dhidi ya tuhuma za kumtukana Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali...

 

9 years ago

MillardAyo

Mabibi na Mabwana Mb Dog katuletea hii single mpya ‘Sio Siri’ isikilize hapa…..

Unapolitaja jina la Mb Dog au Dog Man tayari unajua ni nani anayezungumziwa ambaye kwa kipindi cha nyuma hit kama Latifa,Mapenzi kitu gani,Inamaana na zingine nyingi zilimueka kwenye headline na kuzungumziwa kila mara. Sasa time hii ametuletea hii single mpya iitwayo Sio Siri isikilize hapa Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? […]

The post Mabibi na Mabwana Mb Dog katuletea hii single mpya ‘Sio Siri’ isikilize hapa….. appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani