Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe alivyofunga Kampeni za Uchaguzi Kinondoni

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Aikael Mbowe akiwa na Wabunge wa Chama hicho alifunga kampeni katika Jimbo la Kinondoni February 16, 2018 ambapo uchaguzi unafanyika leo. Mbowe amewataka Wakazi wa Kinondoni kumchagua Salum Mwalim ili aweze kuwaletea Maendeleo katika Jimbo hilo la Kinondoni, Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Mbowe alivyofunga Kampeni […]

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MBOWE ATAKA KAMPENI ZA KIISTARABU


Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kila chama kifanye  kampeni za kistaarabu ili kila mtu aende Ikulu  pasipo kuvuruga amani.

Mbowe ameyasema hayo leo mbele ya waandishi wa habari wakati wa kuelezea masuala ya kampeni zinazoendelea kwa vyama vyote vya siasa, pia amesema kuwa kuna kauli za viongozi wa baadhi ya vyama ambazo haziridhishi katika kupiga kwao kampeni.
Mbowe amasema kauli ya watu hao ni ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Iddi Azzan azindua kampeni Jimbo la Kinondoni jijini Dar

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge (kushoto) akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CCM, Mh. Iddi Azzan(kulia) mbele ya umati wa wanachama wa chama hicho na wananchi waliofurika katika viwanja vya  CCM Mwinjuma Mwananyamala jana jioni, wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, katika jimbo hilo, jijini Dar es Salaam.(Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja blog)

Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

MH. IDDI AZZAN AZINDUA KAMPENI JIMBO LA KINONDONI JIJINI DAR

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge (kushoto) akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CCM, Mh. Iddi Azzan(kulia) mbele ya umati wa wanachama wa chama hicho na wananchi waliofurika katika viwanja vya  CCM Mwinjuma Mwananyamala jana jioni.a , wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, katika jimbo hilo, jijini Dar es Salaam.(Picha na Geofrey Adroph waPamoja blog)Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kiongozi Freemason aelezea alivyofunga ndoa (3)

Jana mwandishi wa makala haya, Sir Andy Chande alisimulia namna alivyofunga ndoa ya kifahari na mchumba wake Jayli nchini Uganda. Baada ya harusi walipanda ndege kwenda Nairobi na Mombasa kuwasalimia baadhi ya ndugu na marafiki walioshindwa kuhudhuria sherehe hiyo. Sasa endelea…

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea wa Ukawa Maulid Mtulila azindua kampeni ya ubunge jimboni Kinondoni

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Profesa Abdallah Safari akihutubia mamia ya watu waliohudhuria uzinduzi wa kampeni za UKAWA kwa ubunge wa jimbo la Kinondoni Jumapili.
Vyama vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA  vimezindua kampeni za ubunge kwa jimbo la Kinondoni ambapo mamia ya watu walihunduria katika viwanja vya Mapilau. Ukawa wameamua kusimamisha mgombea mmoja kwa kila jimbo toka vyama vya Chadema, CUF, NCCR Mageu na NLD ambapo kwa jimbo la Kinondoni Ukawa imemsimamisha Maulid Salum...

 

10 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE AKISHIRIKI KAMPENI YA MAZINGIRA KATIKA SOKO LA MASAMA-MULA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Hai (Mwenye kofia katikati) akishirikiana na wananchi wa Lukeni, Kata ya Masama-Mashariki kufanya usafi katika Soko la Masama-Mula mwishoni mwa juma, katika kampeni ya kutunza mazingira kwenye jimbo hilo iliyopewa jina la 'Keep Hai Clean' ikitumia gari maalum la kukusanyia taka lenye uwezo wa kubeba tani 32 za taka ambalo Mbunge huyo alitoa msaada kwa wananchi wake hivi karibuni.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe: Tutazuia uchaguzi wa Mitaa mahakamani ikiwa...

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kama hali ya kuwaengua wagombea wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa itaendelea kama ilivyo sasa, basi wataupinga uchaguzi huo mahakamani.

 

9 years ago

Michuzi

MH. IDDI AZZAN AZINDUA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge (kushoto) akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CCM, Mh. Iddi Azzan(kulia) mbele ya umati wa wanachama wa chama hicho na wananchi waliofurika katika viwanja vya  CCM Mwinjuma Mwananyamala jana jioni.a , wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, katika jimbo hilo, jijini Dar es Salaam.(Picha na Geofrey Adroph waPamoja blog)Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani