Mbowe apanda kizimbani Hai, aiomba Mahakama iifute kesi yake
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe ameiomba mahakama kutupilia mbali kesi inayomkabili kwakuwa ni kesi iliyotengenezwa kutokana na chuki za kisiasa na jazba za kushindwa katika uchaguzi mkuu uliopita wa mwaka 2010.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Mbowe apanda kizimbani Himo, aiomba Mahakama ifute kesi
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Lema naye ‘apanda kizimbani’ Hai
5 years ago
CHADEMA Blog11 years ago
GPLLULU APANDISHWA KIZIMBANI TENA, KESI YAKE YAAHIRISHWA
11 years ago
GPLSHEIKH PONDA APANDISHWA KIZIMBANI TENA, KESI YAKE YAAHIRISHWA
9 years ago
Mwananchi27 Aug
Mbowe akata rufaa mahakama kuu dhidi ya hukumu yake
10 years ago
Mtanzania15 Jan
Dk. Slaa apanda kizimbani
Na Mwandishi Wetu, Hai
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa, amepanda kizimbani na kutoa ushahidi katika kesi utapeli dhidi ya mtu aliyetumia jina la Jaji Mkuu Mstaafu, Barnabas Samatta.
Katika kesi hiyo namba 117, Dk. Slaa ni shahidi wa nane na alisema kuwa mke wake, Josephine Mushumbuzi, ndiye aliyemsaidia kumgundua mtu aliyejaribu kumtapeli kwa kutumia jina la Jaji Samatta.
Alikuwa akituoa ushahidi jana katika Mahakama ya Hakimu Mfawidhi wa Wilaya...
10 years ago
Habarileo18 Apr
Gwajima apanda kizimbani Kisutu
HATIMAYE Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima (45), amepanda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka mawili, ikiwemo la kutumia lugha ya matusi dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Naibu Meya apanda kizimbani
NAIBU Meya wa Jiji la Arusha, Prosper Msofe na Diwani wa Kata ya Levelos, Ephata Nanyaro, wote kutoka CHADEMA, wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kumshambulia mgambo wa jiji, William Mollel....