Naibu Meya apanda kizimbani
NAIBU Meya wa Jiji la Arusha, Prosper Msofe na Diwani wa Kata ya Levelos, Ephata Nanyaro, wote kutoka CHADEMA, wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kumshambulia mgambo wa jiji, William Mollel....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Naibu Meya, Diwani watinga kizimbani
NA LILIANI JOEL,ARUSHA
Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Prosper Msofe (CHADEMA) na Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Arusha, Efata Nanyaro, jana walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, kujibu shitaka la kudhuru mwili.
Awali, viongozi hao ambao pia ni madiwani wa Jiji la Arusha, walifikishwa katika mahakama hiyo saa 3.05 asubuhi na kukalishwa eneo maalumu, lakini ghafla waliamriwa kukabidhi vifaa vyao pamoja na fedha kwa watu wao wa karibu na kuswekwa...
11 years ago
Habarileo04 Jun
Naibu Meya, diwani kizimbani kwa shambulio
NAIBU Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Prosper Msofe (48) na Diwani wa kata ya Levolosi, Ephata Nanyaro (28) leo walifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha/Arumeru, kujibu mashitaka ya shambulio la kudhuru mwili wa askari mgambo wa Jiji William Mollel.
10 years ago
Mtanzania15 Jan
Dk. Slaa apanda kizimbani
Na Mwandishi Wetu, Hai
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa, amepanda kizimbani na kutoa ushahidi katika kesi utapeli dhidi ya mtu aliyetumia jina la Jaji Mkuu Mstaafu, Barnabas Samatta.
Katika kesi hiyo namba 117, Dk. Slaa ni shahidi wa nane na alisema kuwa mke wake, Josephine Mushumbuzi, ndiye aliyemsaidia kumgundua mtu aliyejaribu kumtapeli kwa kutumia jina la Jaji Samatta.
Alikuwa akituoa ushahidi jana katika Mahakama ya Hakimu Mfawidhi wa Wilaya...
10 years ago
Habarileo18 Apr
Gwajima apanda kizimbani Kisutu
HATIMAYE Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima (45), amepanda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka mawili, ikiwemo la kutumia lugha ya matusi dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
CCM yanyakua viti vya Mstahiki Meya na naibu Meya Halmashauri ya Manisspaa ya Singida
Diwani wa kata ya Mughanga (CCM) manispaa ya Singida, Velerian Kimambo, akiapa mbele ya hakimu wa mahakama ya mwanzo mjini hapa,Zakaria Simoin. Madiwani 26 wa halmashauri ya manispaa, (16/12/2015), wamekula viapo rasmi tayari kuanza kuwatumikia wananchi.
Diwani wa kata ya Mitunduruni (CHADEMA) manispaa ya Singida, Velerian Pantaleo Mastiko Sorongai, akiapa mbele ya hakimu wa mahakama ya mwanzo mjini hapa, Zakaria Simoin. Madiwani 26 wa halmashauri ya manispaa wamekula viapo rasmi tayari...
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Lema naye ‘apanda kizimbani’ Hai
9 years ago
Mwananchi22 Oct
Masha apanda kizimbani, apata dhamana
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Jaji Mkuu mstaafu ‘apanda kizimbani’
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Sheikh Farid apanda kizimbani Kisutu