Jaji Mkuu mstaafu ‘apanda kizimbani’
Jaji Mkuu mstaafu, Barnabas Samatta jana alipanda kizimbani kutoa ushahidi katika Mahakama ya Wilaya ya Hai tukio lililovuta hisia za wananchi wengi kwani ni la kwanza na la aina yake kwa kiongozi wa juu wa mhimili huo wa dola.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-e0d8fddpW1Y/Xq1RDZcZbYI/AAAAAAALo1Q/RXet2-3e9YYExqZbVWuaf2_P6BeA0N7FQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-02%2Bat%2B13.52.15.jpeg)
5 years ago
MichuziHistoria Fupi ya Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani
Na Alban AbdallahKwa masikitiko makubwa sana, tumepata taarifa ya msiba wa Kaka wa makaka, Retired Chief Justice, Brigadier general, the most famous Zanzibarian Christian in the Tanzanian Government History, Reverend Cannon, father, son, friend, and national hero, Augustino Ramadhani. Tunataka kutowa pole kwa mkewe, wanawe, wajukuu, na family ya Ramadhani nzima. This is a monumental loss.
Kwa niaba ya familia yangu, nataka kumzungumzia Justice Augustino Ramadhani kama nilivomfahamu mimi....
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-_ZJOiM3AL7c/XqpnNtb0R5I/AAAAAAAA_s4/ydYuZNhiHtggsRlU5IUbutoRptrnzSfHQCNcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp-Image-2020-04-27-at-23.55.36-571x400.jpeg)
JAJI MKUU MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI KUZIKWA JUMAMOSI
![](https://1.bp.blogspot.com/-_ZJOiM3AL7c/XqpnNtb0R5I/AAAAAAAA_s4/ydYuZNhiHtggsRlU5IUbutoRptrnzSfHQCNcBGAsYHQ/s400/WhatsApp-Image-2020-04-27-at-23.55.36-571x400.jpeg)
10 years ago
Mwananchi03 May
UCHAGUZI CCM 2015: Agustino Ramadhani Jaji Mkuu mstaafu
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0259.jpg?width=640)
MKOSAJI MKUU WA HAKI ZA BINADAMU NI SERIKALI - JAJI MSTAAFU MIHAYO
10 years ago
Mtanzania15 Jan
Dk. Slaa apanda kizimbani
Na Mwandishi Wetu, Hai
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa, amepanda kizimbani na kutoa ushahidi katika kesi utapeli dhidi ya mtu aliyetumia jina la Jaji Mkuu Mstaafu, Barnabas Samatta.
Katika kesi hiyo namba 117, Dk. Slaa ni shahidi wa nane na alisema kuwa mke wake, Josephine Mushumbuzi, ndiye aliyemsaidia kumgundua mtu aliyejaribu kumtapeli kwa kutumia jina la Jaji Samatta.
Alikuwa akituoa ushahidi jana katika Mahakama ya Hakimu Mfawidhi wa Wilaya...
10 years ago
Habarileo18 Apr
Gwajima apanda kizimbani Kisutu
HATIMAYE Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima (45), amepanda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka mawili, ikiwemo la kutumia lugha ya matusi dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Naibu Meya apanda kizimbani
NAIBU Meya wa Jiji la Arusha, Prosper Msofe na Diwani wa Kata ya Levelos, Ephata Nanyaro, wote kutoka CHADEMA, wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kumshambulia mgambo wa jiji, William Mollel....