MBOWE ATETA NA RED BRIGADE DODOMA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akizungumza na vijana wa ulinzi wa chama hicho maarufu kama Red Brigade, (RB), kutoka Kanda ya Kati ya Mikoa ya Dodoma na Singida kwenye makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo Jumatatu Februari 9, 2015. Vijana hao hutumika kulinda viongozi, mali za chama na kwenye mikutano ya hadhara na ile ya ndani ya chama.Mbowe wakati akizungumza na RB
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboRED BRIGADE WALA KIAPO CHA UTII MBELE YA MH FREEMAN MBOWE
10 years ago
Michuzi03 Mar
CHADEMA Red Brigade wala kiapo Mwanza mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe
10 years ago
Mtanzania06 Mar
Nape awananga Red Brigade wa Chadema
NA ELIYA MBONEA, MPWAPWA
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye amerusha kombora kwa Chama cha Demokrasia na Maendekeo (CHADEMA) akidai makundi ya vijana wa ulinzi vya chama hicho (Red Brigade) yameandaliwa kwa ajili ya kuingia msituni kwa shughuli za ugaidi.
Kauli hiyo aliitoa juzi wilayani Mpwapwa kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, inayoendelea mkoani Dodoma.
“CHADEMA wanaandaa vijana kupitia Red Brigade ili kuingia msituni na kuchukua madaraka ya nchi kwa...
10 years ago
Habarileo20 May
Mkufunzi ‘Red Brigade’ atiwa mbaroni
POLISI mkoani Morogoro inamshikilia Naibu Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Boniface Jacob (32) , mkazi wa Dar es Salaam kwa kudaiwa kukiuka Sheria ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ya Vyama vya Siasa nchini inayozuia uundaji wa vikundi vya ulinzi wa vyama.
11 years ago
MichuziRais Kikwete ateta na Wasanii Dodoma
10 years ago
Dewji Blog19 May
Pinda ateta na Lowassa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu, Mstaafu, Edward Lowassa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 19, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
11 years ago
TheCitizen14 May
Italy’s angry brigade readies for European debut
10 years ago
IPPmedia08 Mar
Revealed: Dar fire brigade performance shocking
Revealed: Dar fire brigade performance shocking
IPPmedia
Dar es Salaam residents have been warned not to depend on the Fire brigade during fire outbreaks because the brigade is incapable of controlling frequent outbreaks in the city. Fire and Rescue Inspector from the Ministry of Home Affairs Mabusi Peter ...