RED BRIGADE WALA KIAPO CHA UTII MBELE YA MH FREEMAN MBOWE
Vijana hao wakila kiapo mbele ya Mbowe (kulia)Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe (kushoto) akisikiliza.Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, al maarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza siku ya Jumamosi Februari 28, 2015. Kiapo hicho...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi03 Mar
CHADEMA Red Brigade wala kiapo Mwanza mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe
10 years ago
VijimamboMBOWE ATETA NA RED BRIGADE DODOMA
10 years ago
VijimamboJACOB NA IRENE WALA KIAPO CHA PINGU ZA MAISHA
9 years ago
Habarileo02 Jan
Makatibu wakuu wala kiapo cha maadili hadharani
MAKATIBU Wakuu na Manaibu makatibu wakuu wapya wamekula kiapo cha maadili hadharani, huku wakitahadharishwa yeyote atakayeona anashindwa kufanya kazi kwa mujibu wa kiapo hicho, kukaa pembeni.
11 years ago
MichuziWaziri Chikawe, IGP, DCI wala kiapo cha kuwa wajumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza
10 years ago
Mtanzania06 Mar
Nape awananga Red Brigade wa Chadema
NA ELIYA MBONEA, MPWAPWA
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye amerusha kombora kwa Chama cha Demokrasia na Maendekeo (CHADEMA) akidai makundi ya vijana wa ulinzi vya chama hicho (Red Brigade) yameandaliwa kwa ajili ya kuingia msituni kwa shughuli za ugaidi.
Kauli hiyo aliitoa juzi wilayani Mpwapwa kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, inayoendelea mkoani Dodoma.
“CHADEMA wanaandaa vijana kupitia Red Brigade ili kuingia msituni na kuchukua madaraka ya nchi kwa...
10 years ago
Habarileo20 May
Mkufunzi ‘Red Brigade’ atiwa mbaroni
POLISI mkoani Morogoro inamshikilia Naibu Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Boniface Jacob (32) , mkazi wa Dar es Salaam kwa kudaiwa kukiuka Sheria ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ya Vyama vya Siasa nchini inayozuia uundaji wa vikundi vya ulinzi wa vyama.
10 years ago
MichuziMWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI FREEMAN MBOWE AZINDUA KITABU CHA UTEKELEZAJI AHADI ZA JIMBO LA KAWE
11 years ago
Habarileo22 Feb
Wahandisi 137 wala kiapo Kanda ya Ziwa
WAHANDISI 137 wa Kanda ya Ziwa na mikoa ya Kigoma na Tabora, wamekula kiapo vya kuwa mabalozi na wasimamizi waadilifu wa kazi za kihandisi.