Nape awananga Red Brigade wa Chadema
NA ELIYA MBONEA, MPWAPWA
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye amerusha kombora kwa Chama cha Demokrasia na Maendekeo (CHADEMA) akidai makundi ya vijana wa ulinzi vya chama hicho (Red Brigade) yameandaliwa kwa ajili ya kuingia msituni kwa shughuli za ugaidi.
Kauli hiyo aliitoa juzi wilayani Mpwapwa kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, inayoendelea mkoani Dodoma.
“CHADEMA wanaandaa vijana kupitia Red Brigade ili kuingia msituni na kuchukua madaraka ya nchi kwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi03 Mar
CHADEMA Red Brigade wala kiapo Mwanza mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe
10 years ago
VijimamboMBOWE ATETA NA RED BRIGADE DODOMA
10 years ago
Habarileo20 May
Mkufunzi ‘Red Brigade’ atiwa mbaroni
POLISI mkoani Morogoro inamshikilia Naibu Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Boniface Jacob (32) , mkazi wa Dar es Salaam kwa kudaiwa kukiuka Sheria ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ya Vyama vya Siasa nchini inayozuia uundaji wa vikundi vya ulinzi wa vyama.
10 years ago
VijimamboRED BRIGADE WALA KIAPO CHA UTII MBELE YA MH FREEMAN MBOWE
10 years ago
Vijimambo10 Mar
Chadema wamshukia Nape.
Akizungumza na vijana wa chama hicho mjini Tabora juzi, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, alisema mafunzo yanayotolewa kwa vijana wa chama hicho ni ya kuwajengea ukakamavu na ujasiri ili wawe...
10 years ago
Vijimambo27 Sep
NAPE: MAANDAMANO CHADEMA NI BIASHARA
Adai huuzipeleka picha za vurugu nje ya nchi Adai Chadema wanafanya ili kukinusuru chama chao Awatuhumu kuwatoa kafara waandamanaji Asisitiza laaana ya damu za Watanzania hazitawaacha.
9 years ago
TheCitizen20 Aug
Loser to Nape gets Chadema nomination
10 years ago
Habarileo27 Sep
Nape-Maandamano ni biashara Chadema
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amesema vyama vya upinzani nchini vimeshindwa kufanya kazi za siasa badala yake vimegeuka kuwa vya wanaharakati. Aidha ametaka maandamano yanayohamasishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yapuuzwe kwa kile alichosema ni biashara ya kuuza picha za vurugu nje ya nchi kwa ajili ya kupata misaada kutoka mataifa makubwa.
11 years ago
Habarileo02 Mar
Chadema wamjia juu Nape
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi na Uenezi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye kutaja hadharani majina ya mataifa, watu na vyama vya upinzani, anavyodai vimepewa fedha na mataifa ya kigeni ili vivuruge mchakato wa Katiba mpya.