Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahandisi 137 wala kiapo Kanda ya Ziwa

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Evarist NdikiloWAHANDISI 137 wa Kanda ya Ziwa na mikoa ya Kigoma na Tabora, wamekula kiapo vya kuwa mabalozi na wasimamizi waadilifu wa kazi za kihandisi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Makatibu wakuu wala kiapo cha maadili hadharani

MAKATIBU Wakuu na Manaibu makatibu wakuu wapya wamekula kiapo cha maadili hadharani, huku wakitahadharishwa yeyote atakayeona anashindwa kufanya kazi kwa mujibu wa kiapo hicho, kukaa pembeni.

 

10 years ago

Vijimambo

JACOB NA IRENE WALA KIAPO CHA PINGU ZA MAISHA

Jacob na Irene wakiingia ukumbini kusherehekea harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 29, 2014 Upper Marlbolo Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.Jacob na Irene wakiwa wameingi kwenye ukumbi wa sherehe ya harusi yao.Jacob na Irene na wapambe wao.\Jacob na Irene wakipata chakula.Irene na mpambe wake wakipata chakula.Jacob na mpambe wake wakipata chakula.kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

10 years ago

Vijimambo

RED BRIGADE WALA KIAPO CHA UTII MBELE YA MH FREEMAN MBOWE

Vijana hao wakila kiapo mbele ya Mbowe (kulia)Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe (kushoto) akisikiliza.Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, al maarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza siku ya Jumamosi Februari 28, 2015. Kiapo hicho...

 

10 years ago

Vijimambo

Wabunge Dk Puja na Sebba walioteuliwa na Rais Kikwete wala kiapo Bungeni Dodoma eo

Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Dkt Grace Puja akila kiapo ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe 27/03/2015. Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Innocent Sebba akila kiapo ndani ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe 27/03/2015.Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Innocent Sebba akila kiapo ndani ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe 27/03/2015.
Picha zote na Anitha Jonas - Dodoma.

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Chikawe, IGP, DCI wala kiapo cha kuwa wajumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mathias Chikawe akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa  Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza  mbele...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA Red Brigade wala kiapo Mwanza mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe

 Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, al maarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza siku ya Jumamosi Februari 28, 2015. Kiapo hicho kinafuatia kukamilika kwa mafunzo ya kiulinzi na usalama kwa vijana hao. Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe...

 

9 years ago

Habarileo

Waandishi Kanda ya Ziwa wafundwa

WAANDISHI wa habari nchini, wametakiwa kutekeleza wajibu wao kwa kufuata maadili na misingi ya uandishi wa habari hususan za uchunguzi wakati huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashabiki kanda ya Ziwa wastaarabu.

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania limesema linawashukuru mashabiki wa kanda ya ziwa kwa ustaarabu wa hali ya juu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbili kutoka Kanda ya Ziwa

Wakati mzunguko wa kwanza wa Ligi Daraja la Kwanza msimu huu ukiwa umemalizika, Ukanda wa Ziwa una matumaini makubwa ya kupata timu mbili zitakazopanda daraja Ligi Kuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani