Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JACOB NA IRENE WALA KIAPO CHA PINGU ZA MAISHA

Jacob na Irene wakiingia ukumbini kusherehekea harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 29, 2014 Upper Marlbolo Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.Jacob na Irene wakiwa wameingi kwenye ukumbi wa sherehe ya harusi yao.Jacob na Irene na wapambe wao.\Jacob na Irene wakipata chakula.Irene na mpambe wake wakipata chakula.Jacob na mpambe wake wakipata chakula.kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Makatibu wakuu wala kiapo cha maadili hadharani

MAKATIBU Wakuu na Manaibu makatibu wakuu wapya wamekula kiapo cha maadili hadharani, huku wakitahadharishwa yeyote atakayeona anashindwa kufanya kazi kwa mujibu wa kiapo hicho, kukaa pembeni.

 

10 years ago

Vijimambo

RED BRIGADE WALA KIAPO CHA UTII MBELE YA MH FREEMAN MBOWE

Vijana hao wakila kiapo mbele ya Mbowe (kulia)Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe (kushoto) akisikiliza.Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, al maarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza siku ya Jumamosi Februari 28, 2015. Kiapo hicho...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Chikawe, IGP, DCI wala kiapo cha kuwa wajumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mathias Chikawe akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa  Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza  mbele...

 

11 years ago

Habarileo

Wahandisi 137 wala kiapo Kanda ya Ziwa

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Evarist NdikiloWAHANDISI 137 wa Kanda ya Ziwa na mikoa ya Kigoma na Tabora, wamekula kiapo vya kuwa mabalozi na wasimamizi waadilifu wa kazi za kihandisi.

 

10 years ago

Vijimambo

Wabunge Dk Puja na Sebba walioteuliwa na Rais Kikwete wala kiapo Bungeni Dodoma eo

Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Dkt Grace Puja akila kiapo ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe 27/03/2015. Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Innocent Sebba akila kiapo ndani ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe 27/03/2015.Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Innocent Sebba akila kiapo ndani ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe 27/03/2015.
Picha zote na Anitha Jonas - Dodoma.

 

11 years ago

GPL

MSANII JUMA KATUNDU, AMINA WAFUNGA PINGU ZA MAISHA

 Msanii Juma katundu  akiwa na nyuso ya furaha baada ya  ya kufunga pingu za maisha na amina said nguriche 'Queen emmy' ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki iliyopita kimara mwisho nyumbani kwa bibi arusi bwana ni mwimbaji Wa bendi ya Msondo Ngoma na Bi Harusi ni Msanii Wa tasnia ya unenguaji nchini. Maharusi wakiwa wamepozi na mpambe wao. Amina Said Nguriche 'Queen… ...

 

10 years ago

Michuzi

MFANYABIASHARA MASHUHURI DEOGRATIUS KILAWE AMEFUNGA PINGU ZA MAISHA NA ANABAHATI MLAY.

 Mfanyabiashara  na mmliki wa makampuni ya excel Management, Mikono Speakers na Focus Outdoor Deogratius Kilawe Jumamosi 12th Sept amefunga  pingu za maisha (ndoa )katika kanisa la st.Peter na kisha kufanya mapokezi serena Hotel. Deogratius Kilawe amefunga Pingu za maisha na Anabahati Mlay.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

5 years ago

BBCSwahili

Wapenzi wasioona waliofunga pingu za maisha wasimulia safari yao ya mapenzi

Mpiga picha wa India alipiga picha za wapenzi ambao mapenzi hayakuangalia muonekano.

 

11 years ago

Vijimambo

MSANII JUMA KATUNDU AFUNGA PINGU ZA MAISHA NA AMINA NGURICHE 'QUEEN EMMY'


Msanii Juma katundu akiwa na nyuso ya furaha baada ya ya kufunga pingu za maisha na amina said nguriche 'Queen emmy' ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki iliyopita kimara mwisho nyumbani kwa bibi arusi bwana ni mwimbaji Wa bendi ya Msondo Ngoma na bi. arusi ni Msanii Wa tasnia ya unenguaji nchini Msanii Juma katundu akiwa na nyuso ya furaha baada ya ya kufunga pingu za maisha na amina said nguriche 'Queen emmy' ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki iliyopita kimara mwisho nyumbani kwa bibi arusi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani