MFANYABIASHARA MASHUHURI DEOGRATIUS KILAWE AMEFUNGA PINGU ZA MAISHA NA ANABAHATI MLAY.
![](http://2.bp.blogspot.com/-D4Sunv6xDK4/VfXM_LTwVtI/AAAAAAAH4cQ/pTYdtCiLOOc/s72-c/ABS_8372.jpg)
Mfanyabiashara na mmliki wa makampuni ya excel Management, Mikono Speakers na Focus Outdoor Deogratius Kilawe Jumamosi 12th Sept amefunga pingu za maisha (ndoa )katika kanisa la st.Peter na kisha kufanya mapokezi serena Hotel. Deogratius Kilawe amefunga Pingu za maisha na Anabahati Mlay.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MkdGaRa0ZlI/VFdStpxvYII/AAAAAAAGvP4/mZ_NN2b6dN8/s72-c/Deo%2BPicha%2BMan.png)
appreciation from Deogratius Kilawe
![](http://4.bp.blogspot.com/-MkdGaRa0ZlI/VFdStpxvYII/AAAAAAAGvP4/mZ_NN2b6dN8/s1600/Deo%2BPicha%2BMan.png)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-T822_ihh3YI/VQmZfanPRsI/AAAAAAAAM6g/VXWUfVWT2Ok/s72-c/11000684_10153157453085421_6232313785599446303_n.jpg)
MFANYABIASHARA MASHUHURI MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO VICENT LASWAI APANDA MLIMA KILIMANJARO
![](http://2.bp.blogspot.com/-T822_ihh3YI/VQmZfanPRsI/AAAAAAAAM6g/VXWUfVWT2Ok/s1600/11000684_10153157453085421_6232313785599446303_n.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-PqsBE1IXs88/VQmZguEwTaI/AAAAAAAAM60/U2q2gDdTXtE/s1600/11054409_10153157453355421_5880297756316236386_n.jpg)
10 years ago
VijimamboJACOB NA IRENE WALA KIAPO CHA PINGU ZA MAISHA
10 years ago
GPL![](https://4.bp.blogspot.com/-uKzTjfBFLpo/VDgtMsGODKI/AAAAAAAAOv0/nzPwPZyHb2U/s1600/10177288_755557251157087_1142012701905671379_n.jpg)
MSANII JUMA KATUNDU, AMINA WAFUNGA PINGU ZA MAISHA
5 years ago
BBCSwahili21 Mar
Wapenzi wasioona waliofunga pingu za maisha wasimulia safari yao ya mapenzi
10 years ago
Vijimambo10 Oct
MSANII JUMA KATUNDU AFUNGA PINGU ZA MAISHA NA AMINA NGURICHE 'QUEEN EMMY'
![](https://1.bp.blogspot.com/-fENkzm51ZPE/VDgtNghs3QI/AAAAAAAAOv4/Nj6ag4XQtsk/s1600/10557240_755556637823815_3585250221913000210_n.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-uKzTjfBFLpo/VDgtMsGODKI/AAAAAAAAOv0/nzPwPZyHb2U/s1600/10177288_755557251157087_1142012701905671379_n.jpg)
9 years ago
Dewji Blog27 Dec
Mpiganaji Edwini Mjwahuzi akimbia kambi ya ukapera, afunga pingu za maisha na Bi. Hildegarda Mashauri
Mdau Edwini Mjwahuzi na Mkewe Bi. Hildegarda Mashauri wakiwa ni wenye furaha tele mara baada ya kufunga pingu za maisha na kuwa mwili mmoja, kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam jana
Mdau Edwini Mjwahuzi ambaye ni Mpiga picha wa Magazeti ya Kampuni ya Mwananchi, ameamua kuvunja kibanda cha Makapera na kukimbilia kwenye Mjengo wa wanandoa, kwa kufunga pingu za maisha na Bi. Hildegarda Mashauri kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam.
Mdau Edwini...
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
10 years ago
Bongo526 Aug
M2 The P achora tattoo mpya ya Mangwea, asema amefunga ukurasa wa kumzungumzia