Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe awaonya watakaochaguliwa kwa njia ya rushwa

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema chama hakitasita kumvua wadhifa yeyote atakayebainika kuchaguliwa kwa kutoa rushwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mbowe awaonya watendaji B’moyo

>Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe amewaonya watendaji wilayani Bagamoyo wanaouza mamia ya ekari za ardhi kwa matajiri kuwa kuna hatari vizazi vijavyo vikakosa hata maeneo ya kuzikia.

 

10 years ago

GPL

RAZA AWAONYA WAGOMBEA URAIS KUTOTUMIA RUSHWA

Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,  Mohamed Raza (kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani),  kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Vincent Tiganya. Wanahabari wakifuatilia mkutano huo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe: Atakayetoa rushwa afutwe uanachama

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Freeman Mbowe, ameonya kuwa chama hakitasita kumnyang’anya uanachama mgombea yeyote atakayethibitika kujihusisha na vitendo vya rushwa kwa lengo la kujenga ushiwishi wa...

 

5 years ago

Michuzi

Usomaji kwa njia ya kidijitali : Vodacom Instant Schools njia sahihi ya elimu kwa vitendo

Usomaji kwa mfumo wa kidijitali haimaanishi kupitia simu yako ya mkononi, kishikwambi au kompyuta. Ina maana ya kujenga uwezo wa kujifunza kwa kuwaunganisha walimu au wanafunzi popote walipo. Ni njia sahihi ya kujifunza inayoleta maana halisi.

Wazo la usomaji kwa njia ya kidijitali linalenga kuongeza ufanisi na kuboresha mazingira ya usomaji kwa wahusika kutumia nyenzo za kisasa. Lengo siyo kuachana na mfumo wa mafunzo ya darasani bali kuuboresha kwa kuzingatia matumizi ya teknolojia.

Kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasiopenda kujifunza kwa njia rahisi, watajifunza kwa njia ngumu

NIMEMSIKIA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akisema kuwa katiba mpya haileti maendeleo hata ikija. Msingi wa hoja yake ni kuwa katiba mpya siyo mtatuzi wa matatizo...

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana aweka wazi sifa za watakaochaguliwa kuwania urais

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema, wagombea wa nafasi mbalimbali wasiona mvuto na kukubalika hawatoteuliwa na chama kuwania nafasi yoyote ikiwamo urais katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba.

 

5 years ago

Michuzi

RC WANGABO AWAONYA WAKURUGENZI WANAOENDELEZA UDUMAVU KWA WATOTO RUKWA


Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akiwaonesha wajumbe wa Kamati ya Lishe ya Mkoa pamoja na Halmashauri Kadi maalumu inyofafanua Tathmini ya utekelezaji wa Afua za lishe (score card) katika Mkoa wa Rukwa

……………….

Mwenyekiti wa kamati ya lishe ya mkoa ambaye pia ni mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewataka wajumbe wa kamati hiyo kuandaa zawadi kwaajili ya Mkurugenzi wa halmashauri anaefanya vizuri na anayefanya vibaya katika kutenga shilingi 1,000 kwaajili ya kila mtoto wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani