Mbowe: JK amemkosea Jaji Warioba
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Rais Jakaya Kikwete amefanya makosa kuhutubia Bunge “kama mkutano wa CCM†na kuipinga hadharani Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziJAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE
Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, akipongezwa na wanaCCM katika mkutano wa kampeni...
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Jaji Msumi hajajifunza kwa Jaji Warioba?
BAADA ya kusikia matusi, kejeli na mipasho toka kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba dhidi ya Jaji Joseph Warioba, sasa macho na masikio tunaelekeza kwa Jaji mstaafu Hamis Msumi...
9 years ago
VijimamboJAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Jaji Warioba afura
WAKATI vita ya maneno ya mjadala wa rasimu ya pili ya katiba ikipiganwa nje na ndani ya Bunge, huku Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiendelea kumshambulia Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko...
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
JK amemchuuza Jaji Warioba
NILIPOONA Rais Jakaya Kikwete akilihutubia na kulizindua Bunge Maalum la Katiba, huku akiikosoa rasimu ya pili iliyowasilishwa kwake na Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba,...
10 years ago
Mtanzania04 Oct
Jaji Warioba: Najipanga
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba
Na Waandishi Wetu
SIKU moja baada ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa kupitishwa na Bunge Maalumu la Katiba, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, ameibuka na kusema kwamba atazungumza baada ya kuisoma Katiba hiyo iliyopendekezwa.
Juzi baada ya Bunge hilo kupitisha Katiba inayopendekezwa, wananchi wa kada mbalimbali, viongozi wa kisiasa, dini, wasomi na baadhi ya taasisi walionyesha wazi kutofautiana, wengine...
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Jaji Warioba: Ninapigwa vita
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Jaji Warioba: Namshangaa Sitta
10 years ago
Mtanzania29 Sep
UVCCM wamvaa Jaji Warioba
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umemtaka aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba, aingie mtaani kupambana akiwa na chama cha siasa badala ya kuendelea kutumia mwamvuli wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Tamko hilo lilitolewa jana na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka alipozungumza na mjini Dodoma nje ya viwanja vya Bunge mjini hapa .
Shaka alisema...