Mbowe kuongoza mazishi ya Mtoi
Na Waandishi Wetu, Dar na Tanga
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe leo anatarajiwa kuongoza wananchi wa mkuza wakati wa mazishi ya aliyekuwa mgombea ubunge wa chama hicho Jimbo la Lushoto mkoani Tanga, Mohamed Mtoi Shemng’ombe (39).
Mtoi alifariki dunia juzi jioni, baada ya gari lake alililokuwa akisafiria kuacha njia na kupinduka kisha kuingia kwenye korongo wilayani Lushoto.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam jana, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano Chadema,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Mbowe aongoza mamia kumzika Mtoi
NA OSCAR ASSENGA, LUSHOTO
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema), jana ameongoza mamia ya wananchi wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga, wakati wa mazishi ya aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo, marehemu Mohomed Mtoi.
Katika mazishi hayo, Mbowe aliiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ihairishe uchaguzi wa jimbo la Lushoto ili waweze kuanza mchakato wa kutafuta mgombea mwingine wa kuziba nafasi iliyoachwa na marehemu Mtoi ambaye alifariki kwa ajali ya gari juzi.
Alisema uchaguzi wa...
9 years ago
Vijimambo14 Sep
KIFO CHA MTOI NINI KILITOKEA
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Moha-14Sept2015.png)
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, pamoja na makada wengine wa chama hicho, wanatarajiwa kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga, Mohamed Mtoi (39), aliyefariki dunia juzi usiku kwa ajali ya gari.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Mawasiliano wa Chadema, Tumaini Makene, mazishi hayo yanatarajiwa kufanyika leo saa 7:00 mchana katika kijiji cha...
9 years ago
Raia Mwema30 Sep
Buriani komredi wetu Mohammed Mtoi, utaishi mioyoni mwetu daima
“MAUTI yaliweza kuwatoa wapenzi machoni pake, kamwe hayakuweza kuwatoa moyoni mwake” haya ni mane
Mwandishi Wetu
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-briaFfofQfU/VfSnRDWeLOI/AAAAAAAAVM8/x8p1lIQrHg4/s72-c/FB_IMG_1441873402402.jpg)
SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA KAMANDA MOHAMED MTOI KANYAWANA
![](http://1.bp.blogspot.com/-briaFfofQfU/VfSnRDWeLOI/AAAAAAAAVM8/x8p1lIQrHg4/s1600/FB_IMG_1441873402402.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-wYDHNQtVwm4/VfSnRCl_QeI/AAAAAAAAVM4/AJhcJZgtWdo/s1600/IMG-20150912-WA0193.jpg)
NACHUKUA fursa hii kwa masikitiko makubwa sana kutoa Salamu za Rambirambi kwa Familia na Uongozi wa Juu wa Chadema Makao makuu kwa msiba wa Kamanda mwenzetu, Mpiganaji wa kweli, Kijana mwenzetu Ndugu Mohamed Mtoi Kanyawana aliyefariki kwa ajali ya Gari iliyotokea huko Tanga. Kwa kweli bado tulikuwa tunamhitaji sana kamanda...
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-hK40Tw8fbBA/VfT-XdeDLwI/AAAAAAABVGU/lET4u0Vxl2I/s72-c/Mohamed%2BMtoi.jpg)
MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LUSHOTO KWA CHAMA CHA CHADEMA MOHAMMED MTOI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI
![](http://1.bp.blogspot.com/-hK40Tw8fbBA/VfT-XdeDLwI/AAAAAAABVGU/lET4u0Vxl2I/s640/Mohamed%2BMtoi.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-AbJBh7I_UsY/VfT-ou140dI/AAAAAAABVGc/rwvnSDmrjMw/s640/IMG-20150912-WA0193.jpg)
Mungu aiweke roho ya Marehemu Mohamed Mtoi Kanyawana mahali Pema Peponi