Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe: Ndoto ya Nyerere kutimia Oktoba

>Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema matamanio ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere ya kuwaletea Watanzania mabadiliko waliyoyakosa ndani ya CCM yanaenda kutimia katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ndoto za Maya zaanza kutimia

Wiki iliyopita tuliona namna ambavyo Maya ameanza kukubalika kwenye nyumba ya Lim kutokana na kuonyesha mapenzi ya hali ya juu kwa Abby, hali inayomfanya kukubaliwa ombi lake la kurudi shule.

 

10 years ago

Raia Mwema

Wagiriki Wametimiza Ndoto ya Nyerere

JUMAMOSI ya Julai 4, 2015, tulikuwa katika mabishano makali kwa njia ya barua-pepe.

Sabatho Nyamsenda

 

10 years ago

Vijimambo

Mbowe: Sheria tata zinalenga kudhibiti upinzani Oktoba.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, (pichani) amesema sheria tatu za makosa ya jinai zilizo mbioni kupitishwa na serikali, zimelenga kuwanyamazisha wapinzani kwenye uchaguzi mkuu ujao, ili wasiweze kuanika madudu ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Katika taarifa yake iliyopatikana jana jijini Dar es Salaam, Mbowe alizitaja sheria hizo ambazo ama zimesainiwa au zinasubiri saini...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe: Hakuna aliyemtusi Mwalimu Nyerere, wala anayetaka kuvunja Muungano

Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Watanzania (Ukawa), Freeman Mbowe, amesema uamuzi wao wa kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge ni sahihi kwa kuwa ni njia ambayo imeonekana kwao kuwa inafaa kudai haki ya Watanzania wote.

 

10 years ago

Vijimambo

MDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, WAPINGA RUSHWA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015.

 Mtoa mada Awadh Ali Said, akitoa mada kuhusu muungano na umuhimu wa kuzingatia misingi ya amani katika mdahalo huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere ambao ulifanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo. Mtoa mada Dk. Humphrey Polepole akitoa mada kuhusu kuzingatia misingi ya amani na umoja wa taifa letu kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akitoa majumuisho ya jumla juu ya dhima ya mdahalo...

 

9 years ago

Michuzi

MDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, UMOJA NA HAKI KATIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015

Mtoa mada katika Mdahalo kuhusu Amani, Umoja na Haki Tanzania, Bw. Humphrey Polepole akielezea mawazo yake mbele ya washiriki katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam jana nyuma ni Balozi Getrude Mongela. Mdahalo huo uliorushwa moja kwa moja na Kituo cha Televisheni cha ITV. Picha na Said Ng’amilo.Washiriki waliohudhuria katika mdahalo kuhusu Amani Umoja na Haki uliofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam jana.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

GPL

MDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, UMOJA NA HAKI KATIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015‏


Mtoamada katika Mdahalo kuhusu Amani, Umoja na Haki Tanzania, Bw. Humphrey Polepole akielezea mawazo yake mbele ya washiriki katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam jana nyuma ni Balozi Getrude Mongela.Mdahalo huo uliorushwa moja kwa moja na Kituo cha Televisheni cha ITV.…

 

9 years ago

Michuzi

sherehe za kutimia miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar zaanza rasmi kwa usafi wa mazingira

Kazi za usafi wa mazingira kwenye maeneo tofauti Nchini katika kuanza rasmi kwa maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar zimeonekana kuitikiwa vyema na Wananchi walio wengi pamoja na vikosi vya ulinzi hapa Nchini. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alijumuika na Wananchi hao kwa kazi za usafishaji wa Mtaro wa maji machafu unaokusanya maji kutokea mitaa ya Muembe Njugu, Kwahani, Kariakoo, Kilimani na Kumalizikia Pwani ya Kilimani. Akimuelezea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani