Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe: Sheria tata zinalenga kudhibiti upinzani Oktoba.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, (pichani) amesema sheria tatu za makosa ya jinai zilizo mbioni kupitishwa na serikali, zimelenga kuwanyamazisha wapinzani kwenye uchaguzi mkuu ujao, ili wasiweze kuanika madudu ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Katika taarifa yake iliyopatikana jana jijini Dar es Salaam, Mbowe alizitaja sheria hizo ambazo ama zimesainiwa au zinasubiri saini...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbowe: Ndoto ya Nyerere kutimia Oktoba

>Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema matamanio ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere ya kuwaletea Watanzania mabadiliko waliyoyakosa ndani ya CCM yanaenda kutimia katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tanzania: Mwanasiasa wa upinzani Freeman Mbowe avamiwa na kushambuliwa

Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Freeman Mbowe amevamiwa na kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake jijini Dodoma.

 

10 years ago

Mwananchi

JK asaini sheria zilizopingwa na upinzani

Rais Jakaya Kikwete ametia saini sheria tano zilizopitishwa na Bunge hivi karibuni licha ya kupingwa na wabunge wa upinzani wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

10 years ago

BBCSwahili

Uingereza yaandaa sheria kudhibiti IS

Uingereza inaandaa sheria kupambana na ugaidi, kuzuia ongezeko la Waingereza wanaokwenda kupigana nchini Syria na Iraq.

 

10 years ago

Habarileo

Sheria kudhibiti mgongano wa maslahi

MAPENDEKEZO ya Sheria mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi, miongoni mwa viongozi wa umma, yanatarajiwa kudhibiti viongozi wa umma kushiriki au kuendesha harambee na kutoa zawadi kubwa kubwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Upinzani wataka sheria ya uhuru wa habari

KAMBI Rasmi ya Upinzani, imeitaka Serikali kuharakisha mchakato wa kupata sheria mpya ya uhuru wa vyombo vya habari ili  kufuta sheria kandamizi  zinazominya uhuru wa habari. Kauli hiyo ilitolewa jana...

 

10 years ago

Mwananchi

Upinzani wahofia muswada wa sheria ya takwimu

Serikali imeuondoa kwa muda Muswada wa Takwimu uliowasilishwa bungeni jana ikitaka iuufanyie marekebisho.

 

10 years ago

Habarileo

Washauriwa kutunga sheria kudhibiti uchafu

MKUU wa Wilaya ya Ilemela, Manju Msambya ameshauri Halmashauri ya Manispaa kutunga sheria ndogo ya kuzuia utupaji ovyo wa mifuko ya rambo, ili kurejesha hadhi ya usafi kwenye manispaa hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

‘Sheria kudhibiti mavazi yasiyofaa ipo’

 MWANASHERIA Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Masoud Othman amesema sheria ya kudhibiti mavazi yanayokwenda kinyume na utamaduni ya Mzanzibari ikiwemo ya kuwadhalilisha wanawake ipo na haijafutwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani