Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania: Mwanasiasa wa upinzani Freeman Mbowe avamiwa na kushambuliwa

Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Freeman Mbowe amevamiwa na kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake jijini Dodoma.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Freeman Mbowe: Marekani yaitaka Serikali ya Tanzania kuwakamata waliomshambulia

Marekani imetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuanzisha uchunguzi na hatimaye kukamatwa kwa wale wote waliohusika na shambulio la kiongozi wa upinzani nchini humo Freeman Mbowe.

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Freeman Mbowe asema mtoto wake ameambukizwa virusi vya corona ndani ya Tanzania

Katika taarifa yake kwa umma, Mbowe amesema kuwa mtoto amethibitika kupatikana na virusi vya Corona baada ya kupata homa za vipindi, kuumwa kichwa mfululizo na kukohoa kwa siku tano.

 

5 years ago

Michuzi

KAMANDA MUROTO ATHIBITISHA KUSHAMBULIWA KWA MWENYEKITI MBOWE



Charles James, Michuzi TV

JESHI la Polisi Mkoani Dodoma limethibitisha kushambuliwa na kujeruhiwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake jijini Dodoma.

Akizungumza na wandishi wa habari leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amesema taarifa za Mbowe kushambuliwa na watu wasiojulikana walizipata asubuhi ya leo kupitia kwa Mbunge wa Viti Malum wa Chama hicho.

Muroto amesema tayari Jeshi la Polisi limeshaanza kufanya uchunguzi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Usichokijua kuhusu Freeman Mbowe

NAKUMBUKA ilikuwa Julai, mwaka 2002, ambapo nilikutana na Freeman Mbowe akiwa na kiu ya kweli ya kuleta mabadiliko na siasa mbadala nchini baada ya kushuhudia kuporomoka vibaya kwa NCCR-Mageuzi na...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA MH FREEMAN MBOWE MKOANI TABORA

Mweenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Nzega katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Paking jana.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwatambulisha viuongozi wa ngazi ya Kata wa Chama cha Wananchi (CUF), kwenye mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Paking mjini Nzega jana. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA MH FREEMAN MBOWE MKOANI MOROGORO

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Mtibwa katika jimbo la Mvomero mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM juziMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wanachi wa kijiji cha Nyandila kilichopo juu ya milima ya Uruguru mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

11 years ago

Mwananchi

Freeman Mbowe apata ‘mbabe’ mwenzake

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, Kansa Mbarouk amejitokeza ‘kupimana kifua’ na Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe katika uchaguzi wa ndani unaotarajiwa kufanyika Septemba 14.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani