Sheria kudhibiti mgongano wa maslahi
MAPENDEKEZO ya Sheria mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi, miongoni mwa viongozi wa umma, yanatarajiwa kudhibiti viongozi wa umma kushiriki au kuendesha harambee na kutoa zawadi kubwa kubwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
Matunzo na maslahi ya watoto kwa mujibu wa sheria
KIHISTORIA, Tanzania ilikuwa ni nchi ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki kufanya utafiti juu ya hali ya haki na ustawi wa mtoto mnamo mwaka 1988. Hii ilikuwa ni mwaka...
11 years ago
Habarileo16 May
Mabadiliko Sheria ya Ununuzi yalinda maslahi ya taifa
MIKATABA isiyo na maslahi kwa taifa imedhibitiwa kwa kiwango kikubwa kutokana na mabadiliko yaliyofanyika katika Sheria ya Ununuzi ya mwaka 2011; Bunge limeelezwa jana.
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
Matunzo na maslahi ya watoto kwa mujibu wa sheria II
WIKI iliyopita tuliishia sehemu inayoeleza mahakama itatumia vigezo gani katika kuthibisha kuwa ni mzazi wa mtoto husika. Sasa endelea… JAMBO la kwanza kama kuna ndoa yoyote ilifanyika kulingana na Sheria...
10 years ago
BBCSwahili14 Nov
Uingereza yaandaa sheria kudhibiti IS
10 years ago
Habarileo21 Aug
Sheria kudhibiti ulafi wa viongozi yatungwa
MAPENDEKEZO ya Sheria ya Mgongano wa Maslahi miongoni mwa viongozi na watumishi wa umma, kutenganisha viongozi, mali na biashara zao, ili kuzuia ukiukwaji wa maadili ya viongozi wa umma unaoendelea kutokea nchini yamewekwa hadharani.
11 years ago
Habarileo12 Dec
‘Sheria kudhibiti mavazi yasiyofaa ipo’
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Masoud Othman amesema sheria ya kudhibiti mavazi yanayokwenda kinyume na utamaduni ya Mzanzibari ikiwemo ya kuwadhalilisha wanawake ipo na haijafutwa.
11 years ago
Habarileo19 Dec
Sheria yaja kudhibiti mabaraza ya ardhi
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema katika kudhibiti na kushughulikia malalamiko dhidi ya wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi, wako kwenye mchakato wa kuandaa kanuni zitakazodhibiti utendaji wao.
10 years ago
Habarileo22 Mar
Washauriwa kutunga sheria kudhibiti uchafu
MKUU wa Wilaya ya Ilemela, Manju Msambya ameshauri Halmashauri ya Manispaa kutunga sheria ndogo ya kuzuia utupaji ovyo wa mifuko ya rambo, ili kurejesha hadhi ya usafi kwenye manispaa hiyo.
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Sheria kudhibiti matumizi ya tindikali nchini yaiva