Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK asaini sheria zilizopingwa na upinzani

Rais Jakaya Kikwete ametia saini sheria tano zilizopitishwa na Bunge hivi karibuni licha ya kupingwa na wabunge wa upinzani wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Rais asaini sheria 5 za Bunge

RAIS Jakaya Kikwete ameridhia kwa kusaini sheria tano mpya zilizopitishwa na Bunge lililomalizika mapema mwezi uliopita kabla ya kuvunjwa ili kupisha Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu. Hafla ya utiaji saini wa sheria hizo ilifanywa juzi jioni Ikulu Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sheria hizo.

 

10 years ago

Habarileo

Shein asaini miswada mitatu ya sheria

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho ameliambia Baraza la Wawakilishi kuwa, Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein tayari amesaini miswada mitatu ambayo ilipitishwa na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi katika vikao viivyopita.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenyatta asaini sheria kali ya usalama

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, ameidhinisha sheria kali ya usalama ambayo ilizua vurugu kati ya wabunge wa upinzani na wa serikali bungeni Alhamisi

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Uhuru Kenyatta asaini sheria ya Usalama

Pamoja na kuwapo kwa vuta nikuvute jana katika Bunge la Kenya Rais Uhuru Kenyatta, amesaini na kuiidhinisha sheria mpya ya usalama.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Upinzani wataka sheria ya uhuru wa habari

KAMBI Rasmi ya Upinzani, imeitaka Serikali kuharakisha mchakato wa kupata sheria mpya ya uhuru wa vyombo vya habari ili  kufuta sheria kandamizi  zinazominya uhuru wa habari. Kauli hiyo ilitolewa jana...

 

10 years ago

Mwananchi

Upinzani wahofia muswada wa sheria ya takwimu

Serikali imeuondoa kwa muda Muswada wa Takwimu uliowasilishwa bungeni jana ikitaka iuufanyie marekebisho.

 

9 years ago

BBCSwahili

Sheria mpya yaanza kutumika TZ licha ya upinzani

Leo ni mwanzo wa kutumika kwa sheria ya makosa ya mtandaoni iliyoleta mzozo Tanzania na sawa waweza kutupwa jela jihadhari

 

10 years ago

Vijimambo

Mbowe: Sheria tata zinalenga kudhibiti upinzani Oktoba.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, (pichani) amesema sheria tatu za makosa ya jinai zilizo mbioni kupitishwa na serikali, zimelenga kuwanyamazisha wapinzani kwenye uchaguzi mkuu ujao, ili wasiweze kuanika madudu ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Katika taarifa yake iliyopatikana jana jijini Dar es Salaam, Mbowe alizitaja sheria hizo ambazo ama zimesainiwa au zinasubiri saini...

 

10 years ago

Michuzi

MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MASOKO YA BIDHAA YA MWAKA 2015 (COMMODITY EXCHANGE ACT,2015)

Msomaji wa Maoni hayo Mhe. David Ernest Silinde (Mb) K.n.y Waziri Kivuli- Wizara ya Fedha 29.06.2015Kusoma maoni hayo BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani