Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais asaini sheria 5 za Bunge

RAIS Jakaya Kikwete ameridhia kwa kusaini sheria tano mpya zilizopitishwa na Bunge lililomalizika mapema mwezi uliopita kabla ya kuvunjwa ili kupisha Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu. Hafla ya utiaji saini wa sheria hizo ilifanywa juzi jioni Ikulu Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sheria hizo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Rais Uhuru Kenyatta asaini sheria ya Usalama

Pamoja na kuwapo kwa vuta nikuvute jana katika Bunge la Kenya Rais Uhuru Kenyatta, amesaini na kuiidhinisha sheria mpya ya usalama.

 

10 years ago

Mwananchi

JK asaini sheria zilizopingwa na upinzani

Rais Jakaya Kikwete ametia saini sheria tano zilizopitishwa na Bunge hivi karibuni licha ya kupingwa na wabunge wa upinzani wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

10 years ago

Habarileo

Shein asaini miswada mitatu ya sheria

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho ameliambia Baraza la Wawakilishi kuwa, Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein tayari amesaini miswada mitatu ambayo ilipitishwa na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi katika vikao viivyopita.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenyatta asaini sheria kali ya usalama

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, ameidhinisha sheria kali ya usalama ambayo ilizua vurugu kati ya wabunge wa upinzani na wa serikali bungeni Alhamisi

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MSIBA WA RAIS WA ZAMBIA, MICHAEL CHILUFYA SATA

Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Rais wa Zambia, Michael Chilufya Sata, wakati alipofika nyumbani kwa Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Judith Kapijimpanga, jijini Dar es Salaam, leo Novemba 3, 2014. Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Judith Kapijimpanga, baada ya kusaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA LEO

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Sata ukiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia leo tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa kabla ya mazishi kufanyika hapo kesho.Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata kabla ya maziko yake kufanyika hapo kesho.Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu wa Zambia Mhe. Lupia Banda...

 

10 years ago

GPL

RAIS WA BUNGE LA SADC, SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA

Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata kabla ya maziko yake kufanyika leo. Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu wa Zambia Mhe. Lupia Banda akimpokea Rais wa Bunge la SADC na Spika wa… ...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA ALIYEKUWA RAIS WA BURUNDI, NKURUNZIZA


 Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Burundi DSM kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais Burundi, Nkurunziza, Kikwete amefahamiana na Nkurunzinza kwa zaidi ya miaka 20 tangu wakati wa mazungumzo ya amani ya Burundi.



 

11 years ago

Mwananchi

Rais asaini muswada kuondoa kodi ya simu

Rais Jakaya Kikwete ametia saini hati ya dharura (Certificate of Urgency) ili Muswada wa Fedha wa Mwaka 2013 ufanyiwe marekebisho ya kuondoa tozo ya kodi kwa kadi za simu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani